Dr slaa amekuwa siku zote anapinga dhuluma , wizi na ufisadi aekuwa akiamini kingozi mzuri hastahli kuwa na kasha za wizi na kuwa nakundi kubwa la watu wanao mpigania ili awe kiongozi.
Wakati anaongea na star tv alionyesha kuwa magufuli ndiye anae faa kuwa rais kwa sababu hana makando kando ya wizi na ufisadi
Dr slaa kwa uadilifu huo anao uamini na kwa sasa mgombea mwenye sifa za uadilifu na aliye msafi ni Dr magufuli na kura ya Dr slaa itadondoka kwa Magufuli.