Kura 2013 Iran: Hassan Rohani ndiye rais mpya.

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
644
Iran Presidential Election – Latest Results: Rouhani 51%, Qalibaf 15%, Rezaie 11.68%, Jalili 11%
 
Nategemea Hassan atakua na msimamo thabiti kama ahmedjan

Hassana ni moderate cleric na alikuwa mukosoaji mkubwa wa Rais Mahmoud Ahmadinejad kwa namna alivyokuwa ikiminya uhuru wa binadamu.Hassani ameahidi kuwapa maendeleo wananchi wa Irani na kurudisha mahusiano na nchi za magharibi.

_67748296_rowhani.jpg
Mr Rouhani has said some of President Ahmadinejad's remarks have cost Iran dearly
 
ayaa hawajatwangana, mi nilitaka niwaunge mkono wapinzani na kuwapa silaha. that is the griee of americans.
 
Jamaa wamepiga kura jana tu na leo tayari wameshamaliza kuzihesabu kura na mshindi kapatikana.

nafikiri wenzetu wana mifumo imara na mizuri kuliko ya kwetu, tunalo la kujifunza hapo sisi km watanzania.
 
I thot Jalili angepita anyway karibu Rohani we'r lookin forwad to see ur Managament against Israel & USA
 
I thot Jalili angepita anyway karibu Rohani we'r lookin forwad to see ur Managament against Israel & USA

Bila shaka sera za mambo ya kigeni zitabaki vile vile kwa kufuata misingi ya Jamuhuri ya Ki-islam ya watu wa Iran chini ya Supreme Leader Khamenei.
 
Hivi aliyegombea kupitia ticket ya chama cha Ahmadinejad ni nani? Au ndo huyu mshindi?
 
Bila shaka sera za mambo ya kigeni zitabaki vile vile kwa kufuata misingi ya Jamuhuri ya Ki-islam ya watu wa Iran chini ya Supreme Leader Khamenei.

True manake nlikua naangalia CNN leo wanasema no matter nani anaingia madarakani ila Khomenei is the decision maker kweny mambo crucial
 
It looks like the people had their way this time although we don't expect much to change with Ayatollah still around.
 
Back
Top Bottom