Kupunguza umasikini nchini kila familia ipeleke kijana mmoja ughaibuni akapambane huko

Zanzibar Visa hawasumbui hata kidogo shida huko Bara Visa ni mtifuano process kibao mizungusho kibao wanazuia vijana wasiende nje maana wakaenda hawarudi sasa Nchi itajengwa na nani km wote wakakimbia nje, hata Nyerere alisema hilo kwenye hotuba zake kwamba kijana akienda nje akaona Maisha ya kule nje yalivyo akilinganisha na hapa anaona Bora abakie kule kule tu

aliekwambia Zanzibar hawasumbuliwi na visa ni nani? tukubali tu jama ni wapambanaji kwenye masuala yakwenda nje
 
Kwa Tanzania bara ni Tanga pekee yenye diaspora wengi pamoja na zanzibar ndio maana utakuta hizo sehemu watu husema ni wavivu lakini wanaishi standard life kuliko mikoa wanayoshinda mashambani.

Ngoja tupigilie misumari hapo
Maana sioni Tanga wala Zanzibar
1711399054721.png

1711399077692.png
 
Kama hujasafiri utasema Tanzajia ina maisha mazuri.ndio.ina maisha bora kwa kulinganisha na nchi zilizotuzunguka ila ukienda duniani huko sisi hatuishi bali tunadumu.

Ili kuboresha uchumi wa familia nivema serikali ikalegeza masharri ya passport vijana wakatafute maisha huko ughaibuni.

Kila familia ikiwana kijana katika nchi zilizoendelea mwisho wa mwezi vijana hutuma reminttences nyumbani mambo huwa safi,somalia,kenya na wrst africa countries wanafanya hivyo.

Kwa Tanzania bara ni Tanga pekee yenye diaspora wengi pamoja na zanzibar ndio maana utakuta hizo sehemu watu husema ni wavivu lakini wanaishi standard life kuliko mikoa wanayoshinda mashambani.
Ukweli mtupu ila watakuelewa?? Unaona kilasiku humu wanaulizia ufanyaji wa biashara na vimilion vyao.
 
Zanzibar Visa hawasumbui hata kidogo shida huko Bara Visa ni mtifuano process kibao mizungusho kibao wanazuia vijana wasiende nje maana wakaenda hawarudi sasa Nchi itajengwa na nani km wote wakakimbia nje, hata Nyerere alisema hilo kwenye hotuba zake kwamba kijana akienda nje akaona Maisha ya kule nje yalivyo akilinganisha na hapa anaona Bora abakie kule kule tu
Visa haitolewi na nchi unayotoka( nchi yako) Visa inatolewa na ubalozi ya nchi unayotaka kwenda uliopo nchini kwako,
Hili si swala la serikali ya Tanzania

Passport ndio inayotolewa na nchi yako.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Kama hujasafiri utasema Tanzajia ina maisha mazuri.ndio.ina maisha bora kwa kulinganisha na nchi zilizotuzunguka ila ukienda duniani huko sisi hatuishi bali tunadumu.

Ili kuboresha uchumi wa familia nivema serikali ikalegeza masharri ya passport vijana wakatafute maisha huko ughaibuni.

Kila familia ikiwana kijana katika nchi zilizoendelea mwisho wa mwezi vijana hutuma reminttences nyumbani mambo huwa safi,somalia,kenya na wrst africa countries wanafanya hivyo.

Kwa Tanzania bara ni Tanga pekee yenye diaspora wengi pamoja na zanzibar ndio maana utakuta hizo sehemu watu husema ni wavivu lakini wanaishi standard life kuliko mikoa wanayoshinda mashambani.

Serikali haina ajira za kutosha kwa vijana wetu,huko kwa wenzetu unskilled labor ni nyingi na zinatafuta Vijana,pili vijana wakienda nje wanapata exposure na ujuzi fulani wakirudi nchini,mwisho serikali nayo inafaidika kupitia kodi inayotumwa kama remittence,mfano kundi la ramadhan brother baada yakushinda serikaliimekata income taxi yake bila kutoa jasho.

NB.huwezi kuelewa uzi huu mpaka uwe umesafiri au ujue kuwa serikali inafanya makusudi vijana wasisafiri nje wasije kuamka usingizini wakawatoa madarakani,ukiishi ulaya utawachukia tu watawala wetu kwa nin hawajali maisha ya raia wao,labda na wewe uwe sehemu ya system.
Kupunguza umaskini; kila familia iopewe nafasi moja ya uongozi ndani ya CCM kusiwe na familia moja inbchukua nafasi zote za uongozi.
 
Visa haitolewi na nchi unayotoka( nchi yako) Visa inatolewa na ubalozi ya nchi unayotaka kwenda uliopo nchini kwako,
Hili si swala la serikali ya Tanzania

Passport ndio inayotolewa na nchi yako.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Rudia tena kusoma comment yangu ukienda Zanzibar Visa ubalozini ni unapata bila shida Passport unapata bila shida nenda Bara mizungusho kibao sana sana hio Passport almaarufu km mkebe kuipata ushasugua sana sori za viatu wakati Zanzibar ni kugusa tu passport hii kugusa tu Visa hii hapa
 
Kama hujasafiri utasema Tanzajia ina maisha mazuri.ndio.ina maisha bora kwa kulinganisha na nchi zilizotuzunguka ila ukienda duniani huko sisi hatuishi bali tunadumu.

Ili kuboresha uchumi wa familia nivema serikali ikalegeza masharri ya passport vijana wakatafute maisha huko ughaibuni.

Kila familia ikiwana kijana katika nchi zilizoendelea mwisho wa mwezi vijana hutuma reminttences nyumbani mambo huwa safi,somalia,kenya na wrst africa countries wanafanya hivyo.

Kwa Tanzania bara ni Tanga pekee yenye diaspora wengi pamoja na zanzibar ndio maana utakuta hizo sehemu watu husema ni wavivu lakini wanaishi standard life kuliko mikoa wanayoshinda mashambani.

Serikali haina ajira za kutosha kwa vijana wetu,huko kwa wenzetu unskilled labor ni nyingi na zinatafuta Vijana,pili vijana wakienda nje wanapata exposure na ujuzi fulani wakirudi nchini,mwisho serikali nayo inafaidika kupitia kodi inayotumwa kama remittence,mfano kundi la ramadhan brother baada yakushinda serikaliimekata income taxi yake bila kutoa jasho.

NB.huwezi kuelewa uzi huu mpaka uwe umesafiri au ujue kuwa serikali inafanya makusudi vijana wasisafiri nje wasije kuamka usingizini wakawatoa madarakani,ukiishi ulaya utawachukia tu watawala wetu kwa nin hawajali maisha ya raia wao,labda na wewe uwe sehemu ya system.
Idea hii nilikuwa nayo mwaka 1998 mpaka nikaifikisha kwa mwenye mamlaka, akanicheka. Siongei mengi ili tusijuane ila ilikuwa ni kichocheo cha IT hapa nchini.
 
Nimeshangaa watu walivyomponda mleta mada na nimegundua wanaoponda wote hawajawahi kutoka nje ya nchi hata Afrika Mashariki tu, hakuna watu waoga wa kutoka nje ya nchi yao kama Watanzania, mmoja akitoka mnavutana mnapiga kazi kwa malengo mnaenda kuwekeza home, kibongo bongo kama haupo kwenye system kutoboa ngumu sana tusidanganyane.
 
Back
Top Bottom