Vicin
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 676
- 295
Habari za saizi.
Wadau kwa anaefahamu namna ya kupunguza ukubwa wa picha iwe chini ya mb 1 na 150 x 120 pixels ili niweze kuiapload kwenye maombi ya mkopo. Natanguliza shukrani zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app