Kupunguza tumbo

aida sanga

Member
Jun 3, 2016
63
21
Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa

naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo?

Karibuni!!!!
 
Kuna wale wanaofunga kanga tumboni na kukaza kiasi naona wengi imewasaidia..jaribu
 
Back
Top Bottom