Habari wanajamvi hususani kona hii ya urembo, mitindo na utanashati.
Msaada,..uso wangu unajaa sana mafuta. Mfano naeza nisipake chochote kile,..ila dk 2 tu tena kama jua likiniangaza kidogo tu...!! Utafikiri nimejipaka kopo zima la babycare.
Naomba ushauri nitumie nini ili kupunguza hii hali.
Asanteni...!!!