Kupunguza kijikitambi

Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
701
701
Habari wanajamv?
Ni miaka kama miwili sasa naona kunaongezeko la ukuaji wa kifriji changu, ningependa kujua ni mazoez gani husababisha kubalance tumbo,
msaada please
 
sorry,haya mazoez ni continous coz minimtumiaji mzuri wa vile vinywaji vinavyokatwa kodi sana tz,isije kua kaz bule
 
sorry,haya mazoez ni continous coz minimtumiaji mzuri wa vile vinywaji vinavyokatwa kodi sana tz,isije kua kaz bule

Hapana...fanya siku moja tu kitambi chako kitaisha!!...watu wameacha kazi zao wanakushauri halafu we unaleta utoto
 
kunywa maji ya uvuguvugu ya limao lita 1 asbh sana (4am to 6 am) kila siku. weka limao nne ndan ya jagi lako.utaanza kuona mabadiliko.ahsante
 
Njia rahisi ni kuangalia ulaji wako, kula kiasi lakini hakikisha ni mlo ulio balanced.

Kuwa na ratiba ya kufunga (fasting), na hakikisha unakunywa maji ya kutosha.

Kumbuka unaweza kufanya mazoezi lakini ukaambulia patupu kama hautabadili utaratibu wako wa kula na kunywa.
 
Back
Top Bottom