Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

Jaribu kuzingatia ushauri wa wadau, mi naamini ipo siku utapost habari ya kufanikiwa kwako juu ya hili suala, kumbuka mungu humwokoa kila anayemtumaini, kuwa na imani kuwa inawezekana na ujiamini zaidi.
 
wanaume hutamani kwa kuona na kushika..sasa kama una rusha roho kwenye giza bila kuona utaishia goli mmoja tu kwisha habari yake
 
Bandugu hii inasababishwa na nini haswaa ni psychological effects au hekalu la hamu/nyege zinakuwa zimekwisha?
Je kuna tiba yoyote ina husiana na hii makitu?
 
Bandugu hii inasababishwa na nini haswaa ni psychological effects au hekalu la hamu/nyege zinakuwa zimekwisha?
Je kuna tiba yoyote ina husiana na hii makitu?

Nenda kamuone Dr. Manyuki atakupa tiba ya fasta.

Kama hiyo huwezi basi jifukize manyoya ya fisi maji.
 
Baadhi ya sababu:-

1. Kuugua muda mrefu

2. Ulevi uliopindukia

3. matatizo ya kisaikolojia hasa yatokanayo na mitafaruku ya kimapenzi
 
jiangalie vizuri isije ikawa ulitoka na mke au demu wa mtu basi jamaa akaamua kukurekebisha. otherwise seek clinical advice. but usitumie viagra. na kama unaweza fika hapa ofisi za NIMR mabibo karibu na TFDA kuna dawa tutakupatia kwa ajili ya kukuletea heshima ndani nyumba.
 
Mpwa piga valuu afu tafuta mpododo. Kama vipi njoo Fairway hapa kuna dugunje moja ukiliona tu, mtima unashuka heshima inarudi.


Dah mpwa yaani hata nikiangalia mpododo yaani hakuna hata nikiangalia stata wala mficha uchi hazai jamani, Valuu imeshindwa kupandisha mori kabisa
 
Kutokana na uelewa wangu, Kuna kukosa hamu ya Mapenzi ambayo inakua long term ama short term. Short term sio tatizo saana kama Long term.

Short term...

Hii yaweza sababishwa na tukio ambalo linatendeka papo hapo (yaani wakati wa kukutana kimwili) Yaweza kua baadhi ya hizi sababu;


  • Unakuta Mwanamke ana harufu kali mno katika maeneo yake ya siri pale tu anapojipanua; mara nyingi husababishwa na uchafu ama kushindwa kwa kujisafisha kwa huyo mwanamke. Kwa mtu mwenye Kinyaa anaweza akajikuta hamu imezima ghafla.
  • Mpenzi wako yupo so negative kila utakapo kukutana nae.. Yaani inakua kama vile wataka kumbaka; Kwa mwanaume yaweza muongeza mzuka hali mwingine hamu yaweza katika papo hapo (thou ni wachache)
  • Kua na maumivu sehemu ya siri, has STDs kua waweza kua na hamu, ile tu wataka Kumuingilia mwanamke wako maumivu ajaab! Hamu inazima ghafla.
  • Kufumaniwa.... Hata kama you are solid hard unapofumaniwa hasa kama huyo mwanamke ni Mke wa mtu.


Long Term..


  • Kazi ngumu sana ambayo anakua anafanya; Kumfanya awe amechoka Mno hata hamu ya Mapenzi inakua hamna. Na akijitahidi siku hio awe na hamu dakika moja hamalizi.
  • Mawazo kupita kiasi hadi kupelekea mtindikio wa mawazo.... Hii husababishwa na matatizo ndani ama nje ya Familia ama kuhusiana na shughuli zake za kila siku. Inachangia saana kupoteza hamu ya Mapenzi.
  • Ulevi noumer.... Ulevi kupita Kiasi wa Pombe ama madawa ya kulevya yaweza changia (hii nimechukua kwa Kongosho hapo pamoja na ya chini)
  • Kuugua mda mrefu... Hii yategemea na Ugonjwa.... Hii mara nyingi kwa ugonjwa wa mda mrefu husababishwa na ule ugonjwa ambao unatawala saana mawazo yako hasa kwa wasi wasi.....


Take note nimelenga wanaume na majibu ni more out of assumption.
 
Back
Top Bottom