kuprint t-shirts- kazi hii hapa

kuprint t-shirts- kazi hii hapa

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
jamani mtu yoyote mwenye uzoefu na hizi kazi ..nahitaji kuprint t-shirt kama 20 aila tunaanza na kumi
1.nipo dar
2.toa bei ili nifanye comparison
3.t-shirt kwa ajili ya chama
3.angalau onesha hata picha za kazi uliwah kufanya
 
Chama gani? Cha siasa au Moja ya vyama vingine visivyo vya siasa?
 
ninaprint tshirt aina zote sasa sijui unataka tshirt aina gani kuprintiwa
naprinti polo tshirt na round tshirt
kuhusu bei inategemea na kitu gani unachotaka kuprintiwa iwe logo ya full colour,
maandishi au picha hapo sasa ndo tunapanga bei
nami niko dar sema ufanyiwe huduma hiyo
jamani mtu yoyote mwenye uzoefu na hizi kazi ..nahitaji kuprint t-shirt kama 20 aila tunaanza na kumi
1.nipo dar
2.toa bei ili nifanye comparison
3.t-shirt kwa ajili ya chama
3.angalau onesha hata picha za kazi uliwah kufanya
 
ninaprint tshirt aina zote sasa sijui unataka tshirt aina gani kuprintiwa
naprinti polo tshirt na round tshirt
kuhusu bei inategemea na kitu gani unachotaka kuprintiwa iwe logo ya full colour,
maandishi au picha hapo sasa ndo tunapanga bei
nami niko dar sema ufanyiwe huduma hiyo

Samahani, hivi nikileta plain T shirt nikataka uniprintie 'im your next girlfriend' itakuwa shin ngapi?
 
naanza kuprint tshirt 10pcs na sio moja best elewa hapo
wasiliana kwa kuniPM kama unazo 10pcs

Wai...me wakati najifunza kompyuta kitufe cha pm kilikuwa hakijawekwa bado,ila takutafuta maana sura yako naijua,nipo Dar,Moscow anakokaa Omar Mkali huku...
 
ninaprint tshirt aina zote sasa sijui unataka tshirt aina gani kuprintiwa
naprinti polo tshirt na round tshirt
kuhusu bei inategemea na kitu gani unachotaka kuprintiwa iwe logo ya full colour,
maandishi au picha hapo sasa ndo tunapanga bei
nami niko dar sema ufanyiwe huduma hiyo
nmekupata dada naomba nitafute kesho mchana 0718/0764-776676 au weka yako then i will find you ili tuongee ..kikubwa ni bei tukishindana bei bei bhasi ..siunaju biashara maelewano
 
jamani mtu yoyote mwenye uzoefu na hizi kazi ..nahitaji kuprint t-shirt kama 20 aila tunaanza na kumi
1.nipo dar
2.toa bei ili nifanye comparison
3.t-shirt kwa ajili ya chama
3.angalau onesha hata picha za kazi uliwah kufanya

Bei ya kuprint inategemea na Tshirt t-shirt za kawaida printing + tshirt 12000/=
Form six +tshirt 16000/=
Na inaanzia pc 10 na kuendelea
0715688433

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hallo dada ladyFurahia hongera kwa kazi. Naomba kuuliza upatikanaji wa mashine za kuprint tishet , sahani na bei zake.
 
Back
Top Bottom