Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 260
Ahsante mkuu!Pole! Umepotezaje mkuu?, umejaribu kutangaza hiyo sehemu ulipopotezea kama kuna aliyeviona ?
Wakuu habarini
Nimepoteza cheti cha form four na cha kuzaliwa
Nimeshindwa kufanya registration wakuu
Naomba mnipe mawazo, nina stress mpaka nahisi kufa.
Dirisha la usajili ndio hilo linafungwa
Ila tuna mfumo mbovu sana kwenye hili suala la upotevu wa vyeti.Unatakiwa ukatoe taarifa polisi juu ya upotevu baadaye mambo mengine hufuatia kama vile kupata uthibitisho wa elimu yako kutoka katika vyombo vinavyohusika na elimu kwa ajili ya registration nk.
Ila tuna mfumo mbovu sana kwenye hili suala la upotevu wa vyeti.
Kama taarifa zangu yaani matokeo yangu yapo mtandaoni na index namba nilitumia kuombea chuo na mkopo, washindwe kweli kuthibitisha ndio mimi?
Thanks and Amen!Pole sana, usikate tamaa and put your prayers and trust firmly on God in this time of hardship and He will help you to get your certificates.
Ahsante mkuu!Pole sana mkuu
Duh pole sasa kwani si una hata copies za hivyo vyeti? Ujaribu kuwacheki chuo nahisi kama wataweza kukusaidia registration kwa kutumia hizo.then ufanye hatua zinazohitajika kama kwenda polisi for loss report then utangaze kwenye gazeti sijui ndiyo uende Baraza la mitihani.Ahsante mkuu!
Vilikuwa kwenye bag la PC, niliviacha kwenye bajaji
Simfahamu dereva anapaki wapi lakini alinichukua akiwa anaenda mwenge.
Chuoni hawana namna ya kunisaidia kusajiliwa kweli?
Nenda polisi utoe taarifa, then uende necta wakupe uthibitisho wa cheti. Necta hawakupi cheti kingine ila watakupa uthibitisho wa kupeleka chuo ili usajiliweWakuu habarini
Nimepoteza cheti cha form four na cha kuzaliwa
Nimeshindwa kufanya registration wakuu
Naomba mnipe mawazo, nina stress mpaka nahisi kufa.
Dirisha la usajili ndio hilo linafungwa
Kama nipo Dodoma naenda Necta Dar au Huku wizara ya elimu?Nenda polisi utoe taarifa, then uende necta wakupe uthibitisho wa cheti. Necta hawakupi cheti kingine ila watakupa uthibitisho wa kupeleka chuo ili usajiliwe
Udomupo chuo gani ??
No lazima uende necta, maana ndio wanahusika na Mambo ya vyeti.Kama nipo Dodoma naenda Necta Dar au Huku wizara ya elimu?
Dodoma Necta haipo?No lazima uende necta, maana ndio wanahusika na Mambo ya vyeti.