Utanzania wako unatia mashaka!ngoja tuje utuoneshe makaburi ya mababu zako[emoji1] (hakuna mtanzania mwenye surname kama yako)Mi Mtanzania mkuu.
Nakazia hoja mkuu.Utakuwa from Burundi bila shaka!usiombe utajirike utachunguzwa vizuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hawezi kututanganya watu tusiojulikana[emoji1] atapata tabu saaana[emoji1]Nakazia hoja mkuu.
Hiyo nguru ....... Kwetu bongo hakunaga.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] hawezi kututanganya watu tusiojulikana[emoji1] atapata tabu saaana[emoji1]
Nashukuru mkuu, nmeripoti polisi na mmepewa RB.usichelewe kwenda polisi, wanaweza wasikusaidie kuvipata ila ni kwa usalama wako, mtu mwingine anaweza kuvitumia kufanya uharifu kesi ikawa yako. ni muhimu sana kwenda kuandikisha polisi