Kupotelewa kwa vyeti

Kupotelewa kwa vyeti

Buyagakibunje

Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Naomba msaada wa kisheria, kama mtu amepotewa na cheti au kuungua na moto anaweza kukipata tena NECTA??
 
anaanza kusoma la kwanza mpaka la saba. halaf form one hadi four then nakuendelea
 
Majibu yako yangekuwa ni msaada tosha kwa wengine wenye matatizo yanayofanana na hili, lakini unapoingiza utani kwenye mambo ya msingi haiingii akilini hata kidogo! Ni lini sisi wa Tanzania tutakuwa na utamaduni wa kuheshimu mawazo ya watu wengine? Tujirekebishe na kulipa hadhi jukwaa hili! Period
 
VIP umepotelewa na vyeti nin?maana kuna vyeti viliokotwa,
 
Back
Top Bottom