kupotea kwa hard disc drive

kupotea kwa hard disc drive

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
wakuu nina pc yangu iliyokua na partition Local disc C 90gb, local disc D 247gb na local disc E 128 gb nilipga window chini local disc D imepotea yenye 247gb...nimejaribu kuirudsha kwa njia ya kawaida ya manage/disc mgt/ new simple volume mwsho wa siku inakuletea msg '' there z no enough space ''
nawasilisha kwa yeyote anayejua,anisaidie
 
hyo shida ilinikuta tusubr soln
 
Google easus partition recovery hata mimi nilipatwa na tatizo hilo na ikanisaidia bila ya kupotea hata file moja.
 
wakuu nina pc yangu iliyokua na partition Local disc C 90gb, local disc D 247gb na local disc E 128 gb nilipga window chini local disc D imepotea yenye 247gb...nimejaribu kuirudsha kwa njia ya kawaida ya manage/disc mgt/ new simple volume mwsho wa siku inakuletea msg '' there z no enough space ''
nawasilisha kwa yeyote anayejua,anisaidie
Una HDD ngapi katika system yako? Km partition iliyopotea ilikuwa logical haitorudi!!!
 
Kama Windows uliyoipiga chini ilikuwa katika HDD ambayo ilikuwa na logical drive ndani yake, hutaweza kuirudisha.
 
wakuu nina pc yangu iliyokua na partition Local disc C 90gb, local disc D 247gb na local disc E 128 gb nilipga window chini local disc D imepotea yenye 247gb...nimejaribu kuirudsha kwa njia ya kawaida ya manage/disc mgt/ new simple volume mwsho wa siku inakuletea msg '' there z no enough space ''
nawasilisha kwa yeyote anayejua,anisaidie
hilo sio tatizo, ni kwamba hiyo volume ambayo haionekani ni kwasababu ilikuwa unallocated. Imekutokea baada ya kufanya partition sasa ile space iliyobaki baada ya kutengeneza disk c (primary) na disk e (primary), iliyobaki 247gb imekuwa 'unallocated'!! ulichotakiwa kufanya hapo ni kuInstal windows kwenye hiyo unallocated volume. nakumbuka mara yangu ya kwanza kuInstal windows mwenyewe nilikumbwa na tatizo hilo hilo mara tu baada ya kukamilisha Installation. nilichofanya nilirudia installation nikatengeneza partition zangu vizuri alafu nikaamua kiasi cha unallocated space ambacho ningeInstal windows humo kiwe kiasi gani. kama unaweza kurudia Installation, chagua Windows Installation kwenye hiyo unallocated volume. unaweza ukaDelete hizo partition zote alafu ukatengeneza partition upya kwa namna unavyotaka then unallocated ambayo utaifanyia installation ikawa na gb chache zaidi kwasababu itakuwa ndio local disk c yako yenye kutunza windows files.

mjpfrt.jpg


otherwise kama hutaki kuInstal windows upya na unatumia windows 7 au 8, tumia Disk Management ya computer yako kuiLabel hiyo unallocated volume. angalia video hii nimeiambatanisha hapo chini..
 

Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom