Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,133
Mwisho huwa ni miaka mingapi, nakama hujui usijibuHaiwezekani kwa miaka yote hiyo
Sio kweli, Kuna watu wanakaa mpaka miaka 3Miwili it's ok
Sasa kumbe jibu unalo halafu umefungua uzi kuuliza.Sio kweli, Kuna watu wanakaa mpaka miaka 3
Labda lengo la uzi wake ni kutufahamisha mtoto wa shangazi yake anaenda SASasa kumbe jibu unalo halafu umefungua uzi kuuliza.
Mwenyew nimepostpone mwisho miaka miwili ukizid unarenewKumradhi nina swali nimeulizwa na mtoto wa shangazi nimeshindwa kulijibu nimeamua kulileta kwenu.
Ivi mtu akitaka kupostipone chuo anaruhusiwa kukaa nyumbani hata miaka minne au mitano halafu baadae aende akaendelee alipoishia?. Yani anataka apostipone mwaka huu halafu aende chuo 2025 maana kapata safari ya kwenda South Afrika, atakaa huko kwa miaka 4.
Mkuu nielekeze nini maana ya Ku renew mwakaa wa masomo?Mwenyew nimepostpone mwisho miaka miwili ukizid unarenew
Baada ya kuthibitishwa na chuo ume resume, Kwa usaidizi wa loan officer utaendelea kupokea mkopo,Na kama mwanafunzi ambae anapewa pesa na bodi ya mikopo akipostpone lest say mwaka mmoja..
Akirudi chuo atapata mkopo wake au ndio anakuwa amekosa..
Kuna usumbufu?
Msaada
Una renew kivipi yaniMwenyew nimepostpone mwisho miaka miwili ukizid unarenew