Kuporomoka kwa Shilingi, ubinafwishaji Rasilimali ni Sera za chadema!

Kwa hiyo hamna akili kiasi kwamba mkishinikizwa tu mnakubali? Ndio maana sheria nyingi zinapitishwa kwa makelele ya ndiyooooo kutokana na kukubali kushinikizwa na akina vijisenti

Mzee Mtei alishiriki kushinikiza na ndiye aliyeanzisha chadema na lengo lilikuwa kutafuta mbadala wa CCM kwenye liberation of Tanzanian economy!
 
Wengi wanajiita wana chadema lkn hawakielewi hiki Chama historia yake na kilianzishwa kwa lengo kipi!

Kwa kifupi chadema kilianzishwa na Edwin Mtei ambaye aliwahi kuwa Gavana wa Benki Kuu, huyu Mzee kwa wasiofahamu ndiyo waliohusika moja kwa moja na liberalization of Tanzanian economy, ikumbukwe kwamba miaka yote ugomvi mkuu kati ya TZ yetu na Mabepari ulikuwa ni Fedha yetu, Serikali ilikataa kushusha thamani ya Shilingi yetu!

Mzee Mtei kupitia IMF ndiyo aliyekuwa ana Lobby na kushiriki hata kushauri TZ yetu kuwekewa vikwazo ili tushushe thamani ya fedha yetu jambo ambalo alifanikiwa, sasa leo chadema wanalalama Fedha yetu haina thamani!

Chadema wako kwa ajili ya Muzungu kama muasisi wao anapaswa kuwa reference, sababu hasa ya Wazungu ktk Shilingi yetu ishuke thamani ni ili kufanya bidhaa zao ziwe bei rahisi hapa kwetu, hali iliyopelekea kupoteza Viwanda vyetu, hivyo ukilalama kuhusu kupotea kwa Viwanda na kubinafsishwa ni matokeo ya kazi ya Mzee Mtei!

Hata sera za Madini za 3% ni Mzee Mtei ndiye aliyekuwa analobby kwa niaba ya IMF hivyo usishangae leo hii chadema kumtetea Acasia.

Hata aliyeleta TRA Tanzania kama ilivyo leo hii ni Mzee Mtei, hivyo ukilalama khs TRA ujue ni ni kazi ya Mzee Mtei, ...
Akili matope una fikiriaga sijui kwa kutumia kichwa kipi? Upinzani ni wa kuheshimu

Sent from my ALE-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanajiita wana chadema lkn hawakielewi hiki Chama historia yake na kilianzishwa kwa lengo kipi!

Kwa kifupi chadema kilianzishwa na Edwin Mtei ambaye aliwahi kuwa Gavana wa Benki Kuu, huyu Mzee kwa wasiofahamu ndiyo waliohusika moja kwa moja na liberalization of Tanzanian economy, ikumbukwe kwamba miaka yote ugomvi mkuu kati ya TZ yetu na Mabepari ulikuwa ni Fedha yetu, Serikali ilikataa kushusha thamani ya Shilingi yetu!

Mzee Mtei kupitia IMF ndiyo aliyekuwa ana Lobby na kushiriki hata kushauri TZ yetu kuwekewa vikwazo ili tushushe thamani ya fedha yetu jambo ambalo alifanikiwa, sasa leo chadema wanalalama Fedha yetu haina thamani!

Chadema wako kwa ajili ya Muzungu kama muasisi wao anapaswa kuwa reference, sababu hasa ya Wazungu ktk Shilingi yetu ishuke thamani ni ili kufanya bidhaa zao ziwe bei rahisi hapa kwetu, hali iliyopelekea kupoteza Viwanda vyetu, hivyo ukilalama kuhusu kupotea kwa Viwanda na kubinafsishwa ni matokeo ya kazi ya Mzee Mtei!

Hata sera za Madini za 3% ni Mzee Mtei ndiye aliyekuwa analobby kwa niaba ya IMF hivyo usishangae leo hii chadema kumtetea Acasia.

Hata aliyeleta TRA Tanzania kama ilivyo leo hii ni Mzee Mtei, hivyo ukilalama khs TRA ujue ni ni kazi ya Mzee Mtei, ...
Soryy mkuu; ninavyo kufahamu wewe ni Mwislamu mzuri unae ufuata uislam wako vizuri sana. Binafsi ni Mkristo but may be naweza kua sio Mkristo mzuri sana. Kwenye dini yangu mimi, kumsingizia mtu ni dhambi KUBWA but sina hakika kwenye dini yako. Labda tu swali la kizushi, biashara ya madini wakati tunaianza miaka hiyo ya 90 na of course ndio miaka hiyo hiyo tulianza mfumo wa vyama vingi na Chadema ilianzishwa miaka hiyo hiyo. Swali, mzee Mtei alikua na cheo gani serikalini au hata huko IMF/World bank?
 
Mmmh! umesoma fani gani Mkuu? Hayo mambo ya kupandisha ama kushusha thamani ya shilingi kama huna ufahamu wa masuala ya kiuchumi achana nayo.
 
Umeandika kweli kuwa Edwin Mtei alimshauri Mwl JK Nyerere akubali masharti ya WB & IFM. Hata hivyo Mwl alikataa na kusababisha Mtei kujiuzulu kazi. Hiyo inamaanisha mawazo yake hayakutekelezwa. Sasa unamlaumu Mtei kwa lipi?

Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
Mkuu watu wengine ni waajabu, kama huyo mzee mtei alishindwa kuhujumu akiwa ndani ya system tena akiwa na power kubwa iweje alivyotoka ndiyo akaweza?
 
Mmmh! umesoma fani gani Mkuu? Hayo mambo ya kupandisha ama kushusha thamani ya shilingi kama huna ufahamu wa masuala ya kiuchumi achana nayo.

Hiyo ni sera tu, Benki Kuu ikianua inashusha na ndicho kilichofanyika kwa ushauri wa Mzee Mtei!
 
Ndiye aliyeshiriki kutushikiza tukubali sera za IMF, kujibu maswali yako ni Ndiyo!
Kumbe Mtei ana akili kuwazidi ccm na hiyo inadhihirishwa na namna mnavyohangaika na chadema. Kama mtu mmoja aliweza kuwashawishi hadi akina Nyerere na wasomi wengine wa serikali ya awamu ya kwanza maana yake ana akili nyingi, hivyo anastahili heshima.
 
Soryy mkuu; ninavyo kufahamu wewe ni Mwislamu mzuri unae ufuata uislam wako vizuri sana. Binafsi ni Mkristo but may be naweza kua sio Mkristo mzuri sana. Kwenye dini yangu mimi, kumsingizia mtu ni dhambi KUBWA but sina hakika kwenye dini yako. Labda tu swali la kizushi, biashara ya madini wakati tunaianza miaka hiyo ya 90 na of course ndio miaka hiyo hiyo tulianza mfumo wa vyama vingi na Chadema ilianzishwa miaka hiyo hiyo. Swali, mzee Mtei alikua na cheo gani serikalini au hata huko IMF/World bank?

Alishamaliza kazi Muzungu aliyomtuma, kwani Mzee Mwinyi alishasalimi Amri na kuanza kufuata masharti ya Mzee Mtei/IMF na athari zake tunaziishi leo hii na kuendelea!
 
Kumbe Mtei ana akili kuwazidi ccm na hiyo inadhihirishwa na namna mnavyohangaika na chadema. Kama mtu mmoja aliweza kuwashawishi hadi akina Nyerere na wasomi wengine wa serikali ya awamu ya kwanza maana yake ana akili nyingi, hivyo anastahili heshima.

Ndiyo ana akili vinginevyo asingepata kazi IMF na Wazungu kuamua kumtumia na kuanzisha Chama kinachodanganya Nyumbu wote leo hii!
 
Wengi wanajiita wana chadema lkn hawakielewi hiki Chama historia yake na kilianzishwa kwa lengo kipi!

Kwa kifupi chadema kilianzishwa na Edwin Mtei ambaye aliwahi kuwa Gavana wa Benki Kuu, huyu Mzee kwa wasiofahamu ndiyo waliohusika moja kwa moja na liberalization of Tanzanian economy, ikumbukwe kwamba miaka yote ugomvi mkuu kati ya TZ yetu na Mabepari ulikuwa ni Fedha yetu, Serikali ilikataa kushusha thamani ya Shilingi yetu!

Mzee Mtei kupitia IMF ndiyo aliyekuwa ana Lobby na kushiriki hata kushauri TZ yetu kuwekewa vikwazo ili tushushe thamani ya fedha yetu jambo ambalo alifanikiwa, sasa leo chadema wanalalama Fedha yetu haina thamani!

Chadema wako kwa ajili ya Muzungu kama muasisi wao anapaswa kuwa reference, sababu hasa ya Wazungu ktk Shilingi yetu ishuke thamani ni ili kufanya bidhaa zao ziwe bei rahisi hapa kwetu, hali iliyopelekea kupoteza Viwanda vyetu, hivyo ukilalama kuhusu kupotea kwa Viwanda na kubinafsishwa ni matokeo ya kazi ya Mzee Mtei!

Hata sera za Madini za 3% ni Mzee Mtei ndiye aliyekuwa analobby kwa niaba ya IMF hivyo usishangae leo hii chadema kumtetea Acasia.

Hata aliyeleta TRA Tanzania kama ilivyo leo hii ni Mzee Mtei, hivyo ukilalama khs TRA ujue ni ni kazi ya Mzee Mtei, ...
Kuporomoka ama kupanda kwa shilingi inategemea sana mauzo yetu nje na utalii
 
HADITHI HII HUWAPATI WENYE VICHWA VIZURI
 
Back
Top Bottom