Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Wengi wanajiita wana chadema lkn hawakielewi hiki Chama historia yake na kilianzishwa kwa lengo lipi!
Kwa kifupi chadema kilianzishwa na Edwin Mtei ambaye aliwahi kuwa Gavana wa Benki Kuu, huyu Mzee Mtei kwa wasiofahamu ndiyo waliohusika moja kwa moja na liberalization of Tanzanian economy, ikumbukwe kwamba miaka yote ugomvi mkuu kati ya TZ yetu na Mabepari ulikuwa ni thamani ya Fedha yetu, Serikali ilikataa kushusha thamani ya Shilingi yetu!
Mzee Mtei kupitia IMF ndiyo aliyekuwa ana lobby na kushiriki hata kushauri TZ yetu kuwekewa vikwazo ili tushushe thamani ya fedha yetu jambo ambalo alifanikiwa, sasa leo chadema wanalalama Fedha yetu haina thamani!
Chadema wako kwa ajili ya Muzungu kama muasisi wao anapaswa kuwa reference, sababu hasa ya Wazungu ktk Shilingi yetu ishuke thamani ni ili kufanya bidhaa zao ziwe bei rahisi hapa kwetu, hali iliyopelekea kupoteza Viwanda vyetu, hivyo ukilalama kuhusu kupotea kwa Viwanda na kubinafsishwa ni matokeo ya kazi ya Mzee Mtei!
Hata sera za Madini za 3% ni Mzee Mtei ndiye aliyekuwa analobby kwa niaba ya IMF hivyo usishangae leo hii chadema kumtetea Acacia.
Hata aliyeleta TRA Tanzania kama ilivyo leo hii ni Mzee Mtei, hivyo ukilalama khs TRA ujue ni ni kazi ya Mzee Mtei, ...