Smart-brain
Senior Member
- Mar 17, 2014
- 101
- 62
Sasa CCM iige nini kinachofanywa na CDM kwa sasa?.. Tatizo kubwa hivi vyama vinawaletea ujinga, mnapewa ushauri hamuufati, ukianzisha thread ya kujipa moyo Kama hii wanajazana nyumbu kukusapoti. 2020 wakirudi wabunge 10 wa CHADEMA bungeni shukuru Mungu.SWALI: Je, CCM wakiiga KILA wafanyacho CHADEMA (kwa sasa, yaani Mikakati, mbinu ,nk), wanaweza kurejesha ushawishi unaoporomoka?
hakjafa sema uwaja na refa na sheria ziko ccm lazima mwingine aonelana bingwa maana anabebwahivi chadema bado ipo? chama lilishajifia hilo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Napata shida kidogo kwenye post hii! Madiwani wanaohama kila siku Chadema na kwenda CCM kila uchao kisha CCM ife?
Ni lazima UPATE SHIDA SANA, Why? Because, mnalazimisha "Kupiga ngwala frying pan jikoni kwa Ute wa Mayai".Napata shida kidogo kwenye post hii! Madiwani wanaohama kila siku Chadema na kwenda CCM kila uchao kisha CCM ife?
Kutokana na ukweli kuwa wazi hivyo, "wanajipotezea eti!". WaTz wameamka, tuinuke tulijenge taifa.Bila kubebwa na Tume ya CCM+Polisi+Uhamiaji
CCM ni kama Chama mfu........
Napata shida kidogo kwenye post hii! Madiwani wanaohama kila siku Chadema na kwenda CCM kila uchao kisha CCM ife?
True! (Rejea maandalizi ya Uchaguzi, kata 77 + Jimbo 1, Aug. 2018). "Kupita bila kupingwa" kwenye kata 30 (kwa hila) ktk nchi inayojinasibisha ni ya kidemokrasia (vyama vingi) kwao ndo ushindi??hakjafa sema uwaja na refa na sheria ziko ccm lazima mwingine aonelana bingwa maana anabebwa
Lete ushahidi wa kununuliwa Madiwani tuuone..!!!.... madiwani wanahama au wananunuliwa?.... hii nchi bado wajinga mpo wengi sana licha ya Nyerere kupambana kuundoa
Kwani kinacho wapa tabu ccm ni nini, bila polisi na mahakama ccm haipo kabisahivi chadema bado ipo? chama lilishajifia hilo
Hatukatai, "CCM ya sasa inapambana na wananchi", ndo maana mnakandamiza haki zao. Na kupata shida kwa chadema ni ili wananchi hao wajue wajibu wao kwa nchi na si kufanywa "nyama buchani".CCM ya sasa inapambana na wananchi na chadema ni lazima wapate shida.
Kwa hiyo Chadema ina viongozi wanaoweza kununulika kirahisi hivyo?? Then tukiwapa nchi wataiuza kwa mabeberu wa kizungu!!.... madiwani wanahama au wananunuliwa?.... hii nchi bado wajinga mpo wengi sana licha ya Nyerere kupambana kuundoa