Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,786
CCM kuga mbinu za CHADEMA what the F**CK yaani ni kama CCMIZI KUMUUA TEMBO au NAZI KUVUNJA JIWE
Ukitaka kujua kama chadema bado IPO au imekufa, mwambie mwenyekiti wenu aruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani japo kwa wiki mbili tu!.......hivi chadema bado ipo? chama lilishajifia hilo
Wanaenda kuchua hela tu. Hakuna MTU mwenye akili anaipenda ccmNapata shida kidogo kwenye post hii! Madiwani wanaohama kila siku Chadema na kwenda CCM kila uchao kisha CCM ife?
wanauliwa ..alafu unajifanya hujui ..unafikiria wanapendaKwa hiyo Chadema ina viongozi wanaoweza kununulika kirahisi hivyo?? Then tukiwapa nchi wataiuza kwa mabeberu wa kizungu!!