Kuporomoka kwa CCM

Kuporomoka kwa CCM

Smart-brain

Senior Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
101
Reaction score
62
Kwa mtu mwenye uelewa japo wa kawaida tu, anaweza ona jinsi kasi ya kuporomoka kwa CCM ktk jamii ni kubwa, licha ya jitihada nyingi zifanywazo.
SWALI: Je, CCM wakiiga KILA wafanyacho CHADEMA (kwa sasa, yaani Mikakati, mbinu ,nk), wanaweza kurejesha ushawishi unaoporomoka?
 
CCM ya sasa inapambana na wananchi na chadema ni lazima wapate shida.
 
Bila kubebwa na Tume ya CCM+Polisi+Uhamiaji

CCM ni kama Chama mfu........
 
SWALI: Je, CCM wakiiga KILA wafanyacho CHADEMA (kwa sasa, yaani Mikakati, mbinu ,nk), wanaweza kurejesha ushawishi unaoporomoka?
Sasa CCM iige nini kinachofanywa na CDM kwa sasa?.. Tatizo kubwa hivi vyama vinawaletea ujinga, mnapewa ushauri hamuufati, ukianzisha thread ya kujipa moyo Kama hii wanajazana nyumbu kukusapoti. 2020 wakirudi wabunge 10 wa CHADEMA bungeni shukuru Mungu.
 
Napata shida kidogo kwenye post hii! Madiwani wanaohama kila siku Chadema na kwenda CCM kila uchao kisha CCM ife?
Ni lazima UPATE SHIDA SANA, Why? Because, mnalazimisha "Kupiga ngwala frying pan jikoni kwa Ute wa Mayai".
 
Lumumba Fc wapo kwenye foleni wakija humu povu lao unaweza kudekia barabara
 
Napata shida kidogo kwenye post hii! Madiwani wanaohama kila siku Chadema na kwenda CCM kila uchao kisha CCM ife?

.... madiwani wanahama au wananunuliwa?.... hii nchi bado wajinga mpo wengi sana licha ya Nyerere kupambana kuundoa
 
hakjafa sema uwaja na refa na sheria ziko ccm lazima mwingine aonelana bingwa maana anabebwa
True! (Rejea maandalizi ya Uchaguzi, kata 77 + Jimbo 1, Aug. 2018). "Kupita bila kupingwa" kwenye kata 30 (kwa hila) ktk nchi inayojinasibisha ni ya kidemokrasia (vyama vingi) kwao ndo ushindi??
 
CCM ya sasa inapambana na wananchi na chadema ni lazima wapate shida.
Hatukatai, "CCM ya sasa inapambana na wananchi", ndo maana mnakandamiza haki zao. Na kupata shida kwa chadema ni ili wananchi hao wajue wajibu wao kwa nchi na si kufanywa "nyama buchani".
Tafakari hilo!
 
.... madiwani wanahama au wananunuliwa?.... hii nchi bado wajinga mpo wengi sana licha ya Nyerere kupambana kuundoa
Kwa hiyo Chadema ina viongozi wanaoweza kununulika kirahisi hivyo?? Then tukiwapa nchi wataiuza kwa mabeberu wa kizungu!!
 
Back
Top Bottom