Kupongezwa kwa wanafunzi 10 waliofanya vizuri kidato cha sita kunaakisi ubora wa shule za kata?

Kimbojo

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
387
54
Bunge liliwapongeza wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya kidato cha sita kwa maana ya kuonesha ubora wa shule za kata. Mimi nina jiuliza kwanini hawakutafuta wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza?. hii ndio ingeakisi walau ubora wa shule za kata .Je kilichofanyika kina ukweli juu ya ubora wa shule za kata? ama nikuzikweza tu shule hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…