Kupongezwa kwa wanafunzi 10 waliofanya vizuri kidato cha sita kunaakisi ubora wa shule za kata? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupongezwa kwa wanafunzi 10 waliofanya vizuri kidato cha sita kunaakisi ubora wa shule za kata?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbojo, Jul 13, 2011.

 1. Kimbojo

  Kimbojo JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bunge liliwapongeza wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya kidato cha sita kwa maana ya kuonesha ubora wa shule za kata. Mimi nina jiuliza kwanini hawakutafuta wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza?. hii ndio ingeakisi walau ubora wa shule za kata .Je kilichofanyika kina ukweli juu ya ubora wa shule za kata? ama nikuzikweza tu shule hizo?
   
Loading...