Kupona covid19

Kupona covid19

Hivi jamaa alikuwa serious?
Mimi nilijua usanii ukiongeza na maneno ya TL ndo nikavurugika kabisa.
 
Mbona juzi tu alifanya interview na salama jabir na aka share link ya hiyo interview kwenye facebook page yake?
 
Hivi jamaa alikuwa serious?
Mimi nilijua usanii ukiongeza na maneno ya TL ndo nikavurugika kabisa.
Alivyokuwa anajisifia kuwa kupiga chuma saana, corona haimsumbui 😂, wenye vitambi ndio wanapona tu, Salam sk kapona wiki 2 Sasa
 
Dooo kumbe ni ya zamani sana ,sasa salama naye anatuletea interview za mwaka jana kwenye kipindi kipya??
Ndio hivyo interview yote hajamuuliza corona hâta mara moja, hapo ni dhahiri Ali rekodi last yr
 
Labda karantini imempenda zaidi si alisema ni sawa na mafua ya kawaii nadhani alipewa pesa kusema hivi ili kudumisha msemo wa #TUSITISHANE#
 
Huyo jamaa ni miongon mwa watu walioudanganya umma kuwa Corona ni kaugonjwa kadogo tu bila kujali pengne ni wangap angewafanya wasichukue tahadhari

GunFire
 
Back
Top Bottom