Na mimi nina tatizo kama lako lakin kwangu hlo tatizo linajitokeza nikiwa napiga bao la pili, inachukua mda mrefu saana mpaka naanza kuvuta hisia za mabinti wengine wazur ili angalau nipizi na mara nyingi huwa naacha bila kupizi bao la pili kwa sababu mademu huwa wanalalamika sana kwamba wamechoka hadi wanahisi mashavu ya "K" kuwaka moto. Wadau tupeni ushauri jaman.