Maswali yako leo ni hatari
correct!Huyo mwanamke alikosea LNMP yake
swali nzuri sana,,,,,,,nilitengemea angetwambia siku za mwisho kuona ilikuwa...........?Alijuaje kua aliipata hiyo tarehe 01.01?
Alijuaje kua aliipata hiyo tarehe 01.01?
We jamaa umewaza mbali sana mpaka kuukaribia ukwelSwali zuli sana.Anamwambia aliyechapana nae kwamba tarehe hiyo ndo mwara yake ya mwisho.Na jama anasema akiangalia siku ya kujifungua haziendani kabisa.Sasa hapo ndo ujiulize,kama kumbambikiziwa