mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Picha for reference.
View attachment 3102561
Kazi na dawa😂😂😂
Dah…
Hii nchi kuendelea ngumu sana.
Nikajua unataka kufanya moja ya mikoa yetu kuwa kama Kigali-Rwanda, kumbe unafikiria masuala ya kupiga p*mb*
Mbona kagame hawazi kama wewe
Akili yako ndogo sana!.Tafuta pesa mkuu
Wembamba sio ugonjwa, ma miss wanautafuta kwa udi na uvumbaFor so long time nimekuwa well off kwenye mchezo wa kikubwa ila kuna jambo lilikuwa linaninyima raha sana.
Mimi ni mwembamba mrefu, kama Kagame, ingawa Kagame amenizidi kimo na wembamba.
Nilianza kumjua Kagame kwa kumfuatilia kwa ukaribu kupitia social media, nikiwa chuoni.
Kagame ameoa mke mnene kuliko yeye, yaani ana nyama, kwa lugha nyepesi. Shape ya maana n.k!
Binafsi nilikuwa shy mno kuvua nguo mbele ya 'manzi' hapo kabla, ila nilipo dedicate time kumfuatilia huyu mwamba, nimekuwa na confidence sana.
Yaani na mapaja yangu membamba nivue nguo mbele ya 'manzi' halafu nisione aibu kweli? Ilikuwa ngumu kwangu.
Nikawaza: huyu tall na wembamba ule amezaa watoto 5 na yupo vizuri na wife. Why not me? Why yeye anajikubali na ni thinner than me?
Aisee nikaanza ku change from then. Till now, naipenda mno couple ile. Imenifunza ujasiri na kujiamini.
Kazii ipoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah…
Hii nchi kuendelea ngumu sana.
Nikajua unataka kufanya moja ya mikoa yetu kuwa kama Kigali-Rwanda, kumbe unafikiria masuala ya kupiga p*mb*
Kheeeeh kumbee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa mwemba inatakiwa uwe na chuma km ya punda sio unashangilia wembamba km wa kagame tu
Mjurubegi inatakiwa usome sentimita km 700 ivi level ya peteKheeeeh kumbee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]