Kupitia kwa ‘Baraka ‘ za Vyeo ‘ Mfululizo ‘ alivyopata kwa muda mfupi Afande Charles Mbuge tunajifunza yafuatayo

Unaeleza mambo meeengi bila point ya msingi.sio kila mtu anamjua huyo mtu wala background yake hivyo ingekua busara kama ungeweka hapa history yake watu waisome kisha waunganusge na mawaidha yako hayo.Au ww ndio huyo afande unayazungumzia yalio ujaza moyo wako???
 
Mipasho ya kike kike hii.
 
Jeshini majungu wanafanyiwaga wanaokaribia kupata vyeo vya juu hasa hasa makanali.

Au kikosini mfano kama meja ndio mkuu wa kikosi basi atawapelekesha sana makapteni sababu ukapteni kwenda umeja muda mfupi tu
 
Hata Mimi ameniacha hewani mkuu.
Kama ameamua kuleta mada humu aandike kitu kilichokuwa full sio kuweka kitu nusunusu kwa kusifia tu,kunung'unika tu,kuwaponda na kuwalaani wasiojulikana na kwa makosa yasiojulikana.
Hii ni kutuacha njia panda.
 
Kwa kifupi ni kwamba habar haija balance.Kama ni uandishi basi huu ndio ule unaoitwa UKANJANJA
 
Hata Mimi ameniacha hewani mkuu.
Kama ameamua kuleta mada humu aandike kitu kilichokuwa full sio kuweka kitu nusunusu kwa kusifia tu,kunung'unika tu,kuwaponda na kuwalaani wasiojulikana na kwa makosa yasiojulikana.
Hii ni kutuacha njia panda.

Kwanini unateseka Ndugu?
 
Sort of MAJUNGU

kunyanyasika
kudharauliwa
kuchukiwa... na nani?

Weka hapa hizo chuki , majungu na dharau,,,

Ukishindwa,, basi nakwambia "ACHA MAJUNGU"
Wenzenu tukikuta sehemu tunasemwa kwa ubaya wetu tulioufanya au kumfanyia mtu huwa tunakauka hatutii neno ndio maana ya uvumilivu
 
Mpaka umesoma Uzi wote huu na ukaamua Kuujibu hivi ina maanisha kuwa hiyo ' point ' ya Msingi umeshaielewa labda tu uwe na Akili za ' Kipa Katoka ' ndiyo unaweza usielewe.
 
Sawa Kamanda, hongera kwa uteuzi
 
Mbuge ni Mkali sana lakin ana huruma sana

Nmewahi kumtimbia kwake Kinyerezi kwa shida yangu binafsi na alinisaidia japo hanijui na baadhi ya watu walinisha kuwa atanizingua lakin alinipokea kama Mzee wake na akanipa msaada zaid ya niliouhitaji

Mungu ambaarik kwny kazi zake amuondolee Husda na vijicho
 
Mpaka umesoma Uzi wote huu na ukaamua Kuujibu hivi ina maanisha kuwa hiyo ' point ' ya Msingi umeshaielewa labda tu uwe na Akili za ' Kipa Katoka ' ndiyo unaweza usielewe.
Hata shuleni au vyuoni Kuna waliokwenda kusoma wakijua kabisa Nini maana ya elimu na Kuna wengine wao wamefuata vyeti hao watakipata hata kwa kununua au kwa njia yoyote ile na pia Kuna wasindikizaji hao sasa ni shida hata iweje watanyoosha mkono na kusema hawaelewi inabidi tuwe nao na tuwaelewe
 
Wema wake huo na Kupenda Kwake kuwa Mtu wa Watu ndiko huwa Kunamgharimu kwa Wakubwa zake ambao wengi wao wana Hulka ya Ukuda ( Roho mbaya ) na hata Choyo. Umenena vyema kabisa juu yake Ndugu na huyo ndiyo Afande Charles Mbuge.
 
Mwenyezi anakubali wote wadhambi na wasio wadhambi!!....acha xenophobia

Unajua maana ya Xenophobia? Na je ulipolitumia katika haya maelezo yako unadhani lilistahili Kutumika au labda kwakuwa una matatizo yako Sugu ya Kutokujua vyema Lugha ya Kiingereza ndiyo ukaamua ulitumie ili mradi tu kila Member wa JF ajue kuwa na Wewe umeenda Shule halafu unayajua yanayoendelea huko Afrika Kusini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…