Kupitia kwa ‘Baraka ‘ za Vyeo ‘ Mfululizo ‘ alivyopata kwa muda mfupi Afande Charles Mbuge tunajifunza yafuatayo

Mwenyezi Mungu akikupangia Jambo lako litakuwa tu hata kama kuna Watu wanakuchukia, wanakusambazia maneno mabaya, wanakuzushia, wanakuchafua na hata wengine wanaweza wakawa wanataka Kukuua kwakuwa wanakuona Wewe ni Tishio Kwao ama kwa huo muda au kwa baadae kupitia Nafasi zao ( Vyeo vyao )

Na huyu Afande nahisi Mwenyezi Mungu anazidi Kumfungulia njia za Mafanikio na Kumpa Baraka nyingi kwakuwa huwa hajui Kulipiza Kisasi bali humuachia kila Kitu Mola / Maulana. Na alivyo Muungwana kila alipokuwa akipangiwa kwenda Kufanya Kazi zake ( Kituo cha Kazi ) kama njia ya ' Kumkomoa ' ndiyo Kwanza alikuwa hakatai, anaonyesha Ushirikiano na huko atakapokuwa alikuwa akichapa Kazi hata kuliko pale alipokuwepo awali.

Maisha ya Kikazi / Kimajukumu ya Afande Charles Mbuge yawe ni Somo Kwetu hasa huko sehemu zetu za Kujipatia Riziki.
Unaeleza mambo meeengi bila point ya msingi.sio kila mtu anamjua huyo mtu wala background yake hivyo ingekua busara kama ungeweka hapa history yake watu waisome kisha waunganusge na mawaidha yako hayo.Au ww ndio huyo afande unayazungumzia yalio ujaza moyo wako???
 
Kwani lazima? Na kwanini unaonekana Kuteseka sana na Mafanikio ya ghafla na Kuinuliwa Kimamlaka kwa Afande Charles Mbuge Ndugu? au na Wewe ndiyo wale wale mliokuwa mkinyanyasa Baba wa Watu Kipindi kile alipokuwa pale Mlalakuwa na hadi alivyohamishiwa Ruvu? Basi kwa sasa ndiyo mtamkoma na Mwenyezi Mungu anawaumbueni hapa hapa kwa Kumuinua na nyie Kubakia hapo hapo. Tubuni upesi na muanze Kujipanga Kupanga Mistari ya kwenda Kumuomba Msamaha. Mna bahati Baba wa Watu huwa hana Malipizi ( Visasi ) ila hili ' Zali ' ndiyo lingenikuta Mimi ' Maadui ' zangu wote mngenikoma na ndipo mngejua ni kwanini Wimbo wa Taifa hadi leo hauna Video na kwanini Nyoka hana Ugoko.
Mipasho ya kike kike hii.
 
Jeshini majungu wanafanyiwaga wanaokaribia kupata vyeo vya juu hasa hasa makanali.

Au kikosini mfano kama meja ndio mkuu wa kikosi basi atawapelekesha sana makapteni sababu ukapteni kwenda umeja muda mfupi tu
 
Unaeleza mambo meeengi bila point ya msingi.sio kila mtu anamjua huyo mtu wala background yake hivyo ingekua busara kama ungeweka hapa history yake watu waisome kisha waunganusge na mawaidha yako hayo.Au ww ndio huyo afande unayazungumzia yalio ujaza moyo wako???
Hata Mimi ameniacha hewani mkuu.
Kama ameamua kuleta mada humu aandike kitu kilichokuwa full sio kuweka kitu nusunusu kwa kusifia tu,kunung'unika tu,kuwaponda na kuwalaani wasiojulikana na kwa makosa yasiojulikana.
Hii ni kutuacha njia panda.
 
Kwa kifupi ni kwamba habar haija balance.Kama ni uandishi basi huu ndio ule unaoitwa UKANJANJA
 
Hata Mimi ameniacha hewani mkuu.
Kama ameamua kuleta mada humu aandike kitu kilichokuwa full sio kuweka kitu nusunusu kwa kusifia tu,kunung'unika tu,kuwaponda na kuwalaani wasiojulikana na kwa makosa yasiojulikana.
Hii ni kutuacha njia panda.

Kwanini unateseka Ndugu?
 
Sort of MAJUNGU

kunyanyasika
kudharauliwa
kuchukiwa... na nani?

Weka hapa hizo chuki , majungu na dharau,,,

Ukishindwa,, basi nakwambia "ACHA MAJUNGU"
Wenzenu tukikuta sehemu tunasemwa kwa ubaya wetu tulioufanya au kumfanyia mtu huwa tunakauka hatutii neno ndio maana ya uvumilivu
 
Unaeleza mambo meeengi bila point ya msingi.sio kila mtu anamjua huyo mtu wala background yake hivyo ingekua busara kama ungeweka hapa history yake watu waisome kisha waunganusge na mawaidha yako hayo.Au ww ndio huyo afande unayazungumzia yalio ujaza moyo wako???

Mpaka umesoma Uzi wote huu na ukaamua Kuujibu hivi ina maanisha kuwa hiyo ' point ' ya Msingi umeshaielewa labda tu uwe na Akili za ' Kipa Katoka ' ndiyo unaweza usielewe.
 
Kwani lazima? Na kwanini unaonekana Kuteseka sana na Mafanikio ya ghafla na Kuinuliwa Kimamlaka kwa Afande Charles Mbuge Ndugu? au na Wewe ndiyo wale wale mliokuwa mkinyanyasa Baba wa Watu Kipindi kile alipokuwa pale Mlalakuwa na hadi alivyohamishiwa Ruvu? Basi kwa sasa ndiyo mtamkoma na Mwenyezi Mungu anawaumbueni hapa hapa kwa Kumuinua na nyie Kubakia hapo hapo. Tubuni upesi na muanze Kujipanga Kupanga Mistari ya kwenda Kumuomba Msamaha. Mna bahati Baba wa Watu huwa hana Malipizi ( Visasi ) ila hili ' Zali ' ndiyo lingenikuta Mimi ' Maadui ' zangu wote mngenikoma na ndipo mngejua ni kwanini Wimbo wa Taifa hadi leo hauna Video na kwanini Nyoka hana Ugoko.
Sawa Kamanda, hongera kwa uteuzi
 
Mbuge ni Mkali sana lakin ana huruma sana

Nmewahi kumtimbia kwake Kinyerezi kwa shida yangu binafsi na alinisaidia japo hanijui na baadhi ya watu walinisha kuwa atanizingua lakin alinipokea kama Mzee wake na akanipa msaada zaid ya niliouhitaji

Mungu ambaarik kwny kazi zake amuondolee Husda na vijicho
 
Mpaka umesoma Uzi wote huu na ukaamua Kuujibu hivi ina maanisha kuwa hiyo ' point ' ya Msingi umeshaielewa labda tu uwe na Akili za ' Kipa Katoka ' ndiyo unaweza usielewe.
Hata shuleni au vyuoni Kuna waliokwenda kusoma wakijua kabisa Nini maana ya elimu na Kuna wengine wao wamefuata vyeti hao watakipata hata kwa kununua au kwa njia yoyote ile na pia Kuna wasindikizaji hao sasa ni shida hata iweje watanyoosha mkono na kusema hawaelewi inabidi tuwe nao na tuwaelewe
 
Mbuge ni Mkali sana lakin ana huruma sana

Nmewahi kumtimbia kwake Kinyerezi kwa shida yangu binafsi na alinisaidia japo hanijui na baadhi ya watu walinisha kuwa atanizingua lakin alinipokea kama Mzee wake na akanipa msaada zaid ya niliouhitaji

Mungu ambaarik kwny kazi zake amuondolee Husda na vijicho

Wema wake huo na Kupenda Kwake kuwa Mtu wa Watu ndiko huwa Kunamgharimu kwa Wakubwa zake ambao wengi wao wana Hulka ya Ukuda ( Roho mbaya ) na hata Choyo. Umenena vyema kabisa juu yake Ndugu na huyo ndiyo Afande Charles Mbuge.
 
Mwenyezi anakubali wote wadhambi na wasio wadhambi!!....acha xenophobia

Unajua maana ya Xenophobia? Na je ulipolitumia katika haya maelezo yako unadhani lilistahili Kutumika au labda kwakuwa una matatizo yako Sugu ya Kutokujua vyema Lugha ya Kiingereza ndiyo ukaamua ulitumie ili mradi tu kila Member wa JF ajue kuwa na Wewe umeenda Shule halafu unayajua yanayoendelea huko Afrika Kusini?
 
Similar Discussions

30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom