Kupitia Arsenal ,Rwanda yaongeza mapato ya utalii

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,691
Utalii wa Waingereza kwenda Rwanda umeongezeka kwa asilimia 5, ikiwa ni matokeo ya kujitangaza kupitia jezi za Arsenal, ambapo nembo ya 'VISIT RWANDA' imeandikwa begani katika jezi za Arsenal. Kupitia hilo Rwanda imeingiza £36m zaidi ya Tsh Bil 100 kwa mwaka.

Serikali ya Rwanda hutoa £10m kwa mwaka katika klabu ya Arsenal . ,hii inafanya Rwanda kuvuna faida ya £26m kwa mwaka.

Arsenal did not disclose how much the deal is worth, but sources close to the deal say the sponsorship cost £10 million ($13.3m) a year, or $40 million in the three years.

WEKA PESA UPATE PESA

TANZANIA TUNASUBIRI NINI?
IMG_20190823_184803.jpeg
IMG-20190822-WA0009.jpeg
 
unaitafutia timu yenu ya Arsenal pesa za usajili
asilimia kubwa ya watalii wanaokuja ni wale waliosimuliwa na wenzao
kipindi cha nyuma Tanzania ilishatangaza utalii kupitia baadhi ya viwanja vya epl nafikiri walijifunza matokeo waliyopata
 
Kivipi mkuu, hahahah eti naitafutia hela ya usajiri

Tanzania hakuna creative katika maswala ya kutangaza utalii, unatangazaje utalii kijinga vile ,tangaza utalii kwa timu zenye fan base na zinazofatiliwa na watu wengi,

Mfano kwa vivutio vilivyopo tz ,ukiweka mzigo wa £20m kwa mwaka kwa timu za Top 6 EPL , una uhakika wa kuingiza £100m kwa mwaka ,

Tatizo Hatutaki kujifunza kwa wenzetu

Rwanda wana vivutio vya kawaida sana, Tanzania tunawazid mbali ,lakin kwa kuweka mzigo wa £10m kwa mwaka kwa Arsenal ,wameingiza faida £26m .
 
Utalii wa Waingereza kwenda Rwanda umeongezeka kwa asilimia 5, ikiwa ni matokeo ya kujitangaza kupitia jezi za Arsenal, ambapo nembo ya 'VISIT RWANDA' imeandikwa begani katika jezi za Arsenal. Kupitia hilo Rwanda imeingiza £36m zaidi ya Tsh Bil 100 kwa mwaka.

Serikali ya Rwanda hutoa £10m kwa mwaka katika klabu ya Arsenal . ,hii inafanya Rwanda kuvuna faida ya £26m kwa mwaka.

Arsenal did not disclose how much the deal is worth, but sources close to the deal say the sponsorship cost £10 million ($13.3m) a year, or $40 million in the three years.

WEKA PESA UPATE PESA

TANZANIA TUNASUBIRI NINI?View attachment 1188459View attachment 1188460
Source ya statistics ni ipi? Mbona hujaziweka? Sii unajua Rwanda kwakupika data waonekane wako juu wakati ni nchi ya kawaida masikini sana Africa mashariki anakaribia Burudi Umasikini....lakini kwa propaganda hawajambo
 
Mbona kama una chuki na Rwanda?
 
Kivipi mkuu, hahahah eti naitafutia hela ya usajiri

Tanzania hakuna creative katika maswala ya kutangaza utalii, unatangazaje utalii kijinga vile ,tangaza utalii kwa timu zenye fan base na zinazofatiliwa na watu wengi,

Mfano kwa vivutio vilivyopo tz ,ukiweka mzigo wa £20m kwa mwaka kwa timu za Top 6 EPL , una uhakika wa kuingiza £100m kwa mwaka ,

Tatizo Hatutaki kujifunza kwa wenzetu

Rwanda wana vivutio vya kawaida sana, Tanzania tunawazid mbali ,lakin kwa kuweka mzigo wa £10m kwa mwaka kwa Arsenal ,wameingiza faida £26m .
Hili ndiyo tatizo la watz. Umeambiwa mkataba huo ni undisclosed lakini unajiaminisha eti Rwanda wanapata faida. Subiri miaka mitatu iishe uone kama Rwanda wataongeza mkataba
 
Acha kukurupuka , undisclosed ni kuhusu Arsenal kutokusema wanapokea bei gan kwa Rwanda ,na hii kama hujui, Rwanda walishutumiwa kwann wanaidhamin Arsenal hela zote hizo, ?

Lakin mkataba upo wazi Rwanda wanatoa £10m per year kwa Arsenal ,

Swala la kutokuongeza , Halijalishi Rwanda wamepata faida au lah, anaweza kutokea mwingine akapanda dau, na Rwanda akapigwa chini.
 
Back
Top Bottom