SPANISH CP
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 465
- 230
Dah! Hii ndo Jf ya miaka hiyo ilivyokua nimepitia michango yote sikuona kukashifiana wala kutukanana,members walikua wanajiheshimu na kuheshimiana. Si Jf ya leo neno moja matusi kumi.
Dah,NATAMANI NINGEKUWEPO ENZI HIZO.
Dah,NATAMANI NINGEKUWEPO ENZI HIZO.