Kupima Ukimwi sasa ni nyumba kwa nyumba


waathirika wengi ni wale walio kwenye ndoa na wanaotembea nao, hapo ndio watu wengi hawatumii kinga, wengi wanao kwenda na hao kina dada wanaojiuza wana uwezekano mkubwa wa kutumia kinga kuliko wale wanao kwenda kwa nyumba ndogo ambazo zimeshamiri kuanzia mjini mpaka vijijini..

waliooa watulie na wake/waume zao, kama hawawezi watumie kinga kwa mke/mume na kwa nyumba ndogo...
 
huu mpango ukitumika vizruri, utasaidia kuondoa tatizo la upungu wa damu kwenye mahospitali yetu, kuna watu huko vijijini wana afya nzuri, kabisa baada ya kupimwa wanaweza kushawishiwa wakatoa na damu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…