bagabe
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 540
- 670
Wajemeni katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha ni kupima HIV/UKIMWI hasa ukiwa hujatulia michepuko mingi, miezi ya juzi kati nilifululiza kupiga papuchi, nilikaa kwa mda nikaona bora nikacheki afya yangu hospital.
Wakati nasubiri majibu nilikuwa natetemeka sana kwa woga hadi pale dokta aliponipa majibu yangu.
Je wewe ilikuaje ulipopima HIV kwa mara ya kwanza?
Wakati nasubiri majibu nilikuwa natetemeka sana kwa woga hadi pale dokta aliponipa majibu yangu.
Je wewe ilikuaje ulipopima HIV kwa mara ya kwanza?