Kupigwa vibuti ni kunauma...

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,023
2,607
Salam wanajf husika na kichwa cha habar hapo juu kuna dem nilidhan ananielewa ile kumtokea tu akanitumia SMS kama barua nakumbuka tu neno sina hisia na wew mpaka Leo sitosahau yaan MTU unampenda alafu daa malipo ndo vibuti naomba ushauli hii hali inaishaje
 
Back
Top Bottom