sandululaboy
New Member
- Feb 17, 2017
- 2
- 0
wakati huu TZ inapambana na madawa ya kulevya iikiwemo bangi. Drugs kama heroin na cocaine ni lazma kupambana navyo vilivyo kwa sbb hizi ni aina.ya vilevi ambavyo vinamteka binadamu na kumpotezea utu wake lkn bangi ni ligi ingine kabisa na hoja yangu ni kwamba kupambana na bangi wkt pombe si kwamba inaruhusiwa tu bali suppliers wanaruhusiwa kushawishi jamii kupitia matangazo ni unafiki mkubwa kwa sbb zifuatazo. Hizi sbb zinathibitishwa na statistics.
1. Pombe inasababisha vifo vingi kwa njia ya maradhi ya kuambukizana na uharibifu wa viongo kama maini. Vifo vingine ni vya accidents, ugomvi, etc.
2. Pombe inavuruga familia kwa kusababisha talaka, kuchezea kipato cha familia, na kukosesha malezi bora kwa watoto, etc.
3. Pombe inapunguza productivity kwa kusababisha hangovers, utorokaji, na kadhalika
4. Pombe inapoteza mali nyingi ambayo ingeweza kutumika kwenye vitu vitu vyenye manufaa kwenye jamii
5. Imethibitishwa kwamba pombe inaongeza ubakaji na uonezi wa wanawake na watoto
6. Waste of time ambayo mtu angeweza kuspend na mke, watoto na wengine
Ni kweli kwamba serikali inapata pato kubwa kupitia kwenye pombe lakini athari zake za kiuchumi na kijamii ni marudufu ya hayo mapato.
Kama nia ni kuboresha taifa, huwezi pambana na bangi au mirungi wakati unashawishi pombe.
Kwa ufupi pombe inahusika kwenye kuongeza umasikini, kuharibu malezi mazuri, kuvunja familia na kurudisha taifa nyuma kwa ujumla. Na kwa sbb inaruhusiwa athari zake ni kubwa kuliko vilevi vingine vyote combined.