wadau habari zenu....naomba kujuzwa software itakayoniwezesha kupiga simu kwa kutumia line yangu iliyo kwenye modem coz natumia modem ninayotumia haina option ya kupiga wala kupokea simu but naweza kupokea na kutuma msg. Nimejaribu kutumia njia ya ku kupiga kwa dialer kupitia os but inaleta error ya blue screen. Kama kuna mdau mwenye software itakayoniwezesha kupiga na kupokea simu naomba anijuze. Nawasilisha