Kupiga kura

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Imezoeleka kuwa wanandoa na watu walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi/mahaba huongozana kwenda kwenye sehemu mbali mbali, Harusini, Misibani, starehe na kushirikiana vitu kwa pamoja n.k. Je kwenye kupiga kura utaongozana na mmeo/mkeo, GF/BF wako na Je umewahi kujadili na mwenzio ni nani utakaye mpigia kura au kwa hili kila mtu kivyakevyake tu:israel:
 
mapenzi hadi kwenye kura!!!!!!!!! mmmhhhh i doubt

Mie nafikiri ni vizuri hata wanandoa wakakubaliana jambo pamoja! e.g Twenge tukawapigie CHADEMA. Maana watu wawili hawawezi ambatana mpaka wawe wamekubaliana jambo kwa pamoja!
 
Back
Top Bottom