Symonjerry Member Joined Nov 16, 2017 Posts 68 Reaction score 86 May 26, 2020 #1 SIASA Sent using Jamii Forums mobile app
Kimwerymdodo5 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2019 Posts 2,047 Reaction score 3,322 May 26, 2020 #2 😂😂😂😂😂😂Sikilizia hiyo mipovu ya wakamba,wakikuyu,Luhya,nk..
P Pemba empire JF-Expert Member Joined Apr 29, 2018 Posts 467 Reaction score 1,339 May 26, 2020 #3 Hatari
paul sylvester JF-Expert Member Joined Mar 18, 2020 Posts 3,503 Reaction score 3,501 May 26, 2020 #4 Mtihani umetungiwa Ulaya, Africa huku wanatafuta majibu ya mtihani, Naona mmoja Yuko vizuri kiasi kwamba Wakati mtihani ukitungwa alikuweko, mmoja ni mjinga Fulani hivi, anatizamia tu Kwa mwenzie, Naona Somo la Kemia ni gumu kwake
Mtihani umetungiwa Ulaya, Africa huku wanatafuta majibu ya mtihani, Naona mmoja Yuko vizuri kiasi kwamba Wakati mtihani ukitungwa alikuweko, mmoja ni mjinga Fulani hivi, anatizamia tu Kwa mwenzie, Naona Somo la Kemia ni gumu kwake
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 May 26, 2020 #5 Kenyatta anadesa
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,128 Reaction score 82,753 May 26, 2020 #6 Huyo anaibia majibu kwa mtu ambae ni kimeo hana uhakika na majibu yake. Watafeli Wote
Jitu leusi Member Joined Aug 8, 2019 Posts 77 Reaction score 143 May 26, 2020 #7 Hahahahahaaa dah Sent using Jamii Forums mobile app
MKANGAFFU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 27,308 Reaction score 38,022 May 26, 2020 #8 Symonjerry said: SIASAView attachment 1459909 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mchora katuni anataka kumsababishia rais wetu maumivu ya kihisia
Symonjerry said: SIASAView attachment 1459909 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mchora katuni anataka kumsababishia rais wetu maumivu ya kihisia
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,175 Reaction score 72,245 May 26, 2020 #9 copy and paste... COVID-19 TUTAIMALIZA TU