japhet nkwabi Member Joined Mar 8, 2013 Posts 91 Reaction score 16 Nov 16, 2013 #1 mbona wabongo tunazidi ushamba?maana mtu ukipendwa unaanza mashauzi nakumdharau anaekupenda kumuona kama boya au tumezoea mapenzi ya makilikili?
mbona wabongo tunazidi ushamba?maana mtu ukipendwa unaanza mashauzi nakumdharau anaekupenda kumuona kama boya au tumezoea mapenzi ya makilikili?
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,190 Nov 16, 2013 #2 ^^ Huo ni upendo wa upande mmoja. ^^
T thadey makusilo Member Joined Oct 31, 2013 Posts 46 Reaction score 11 Nov 16, 2013 #3 Usituvunjie heshima bhana,c tuna mapenzi ya dhati na wenzi wetu,jikague mara nyingi inawezekana we ndo msiba!
Usituvunjie heshima bhana,c tuna mapenzi ya dhati na wenzi wetu,jikague mara nyingi inawezekana we ndo msiba!