Mkuu wewe acha tu,tunapataga nguvu za ajabu na wala huwa hatuhisi kuonewa wala kuelemewa πππIla wanaume wakipenda bana kila jambo kwao linakuwa jepesi.
Yaani dude lote hilo kaliona jepesiii. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Hongereni kwa hilo.Mkuu wewe acha tu,tunapataga nguvu za ajabu na wala huwa hatuhisi kuonewa wala kuelemewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eeh Hajar, ikipenda roho mtu huweza hata hula nyama mbichi, walijisemea wahengaIla wanaume wakipenda bana kila jambo kwao linakuwa jepesi.
Yaani dude lote hilo kaliona jepesiii. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yuko vizuri sanaHuyu jamaa hata zile simtaki kule anaweza zibeba aisee.
Ila huyo dada ana ziwa balaaSIJAWAHI KUPENDWA HIVI.View attachment 721325
πππkama kupenda ndiyo hivyo bora niishi mwenyewe!! khaa jitu nene eti nilibebe mgogoni....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimeona Sesten.Umeona eeh Hajar, ikipenda roho mtu huweza hata hula nyama mbichi, walijisemea wahenga
Nimemuona tu jamaa kajitoa muhanga kama wale Alqaida wanojilipuaSesten Zakazaka njoo uone huku.
Hahaaa. Kaamua hasaa maana pale akimshusha basi shingo aiandalie mafuta ya kuichua la sivyo anaweza asiigeuze.Nimemuona tu jamaa kajitoa muhanga kama wale Alqaida wanojilipua
Mimi natamani kumbeba mtu flani humu nadhani wamtambua
Niubebe moyo wake lakiniπππ , Nisiuangushe wala nisiushushe
ππMi mwenyewe kuna mama mmoja huyo ni pande la mtu lakini nilikuwa nambebelea nazunguka nae chumba kizima natekenya puchi hadi huwa najishangaa nguvu zile nilizotoa wapi, mahaba haya!
Najua moyo wake ulivyo mdogo, muoga na hakawii kukasirika ila ana hisia za kweli na si kujifanyisha na ni muelewa sijapatapo kuonaππHahaaa. Kaamua hasaa maana pale akimshusha basi shingo aiandalie mafuta ya kuichua la sivyo anaweza asiigeuze.
Namtambua aisee. We mbebe tu huo moyo wake ila ndio kama ulivyosema usiuangushe wala kuushusha sababu wajua moyo wake ulivyo mdogo. [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] afadhali umelijuaga hilo kutoka kwake haya mbebe sasa huo moyo wake kila kukicha na usiuangushe eee.Najua moyo wake ulivyo mdogo, muoga na hakawii kukasirika ila ana hisia za kweli na si kujifanyisha na ni muelewa sijapatapo kuonaππ
Kwa upande wangu nitaanzaje kuuangusha moyo wake kwa mfanoπππ
Hata kama nikupenda sio kwa kubeba lizigo hiloIla wanaume wakipenda bana kila jambo kwao linakuwa jepesi.
Yaani dude lote hilo kaliona jepesiii. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaa. Hivyo Mkuu kama ni weye usingeweza?Hata kama nikupenda sio kwa kubeba lizigo hilo
Ni ahadi yangu kwake hiyo, leo na siku zote[emoji23] [emoji23] [emoji23] afadhali umelijuaga hilo kutoka kwake haya mbebe sasa huo moyo wake kila kukicha na usiuangushe eee.
Umenikumbusha biology...Huyo jamaa naona ATP amekosa kwa kuzipeleka ameamua kufanya huo upuuzi.