mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,564
Mkuu wewe acha tu,tunapataga nguvu za ajabu na wala huwa hatuhisi kuonewa wala kuelemewa 😂😂😂Ila wanaume wakipenda bana kila jambo kwao linakuwa jepesi.
Yaani dude lote hilo kaliona jepesiii. [emoji23] [emoji23] [emoji23]