Kupendwa

Wewe mbebe, alafu kitandani ushindwe kumpa vitu motooo uone kama atabaki na wewe
 
Kubebwa uko ndo kupendwa? Na wale wanayoitoa timu kwenye final na wakabebwa na washabiki je nako ni kupendwa? Picha hiyo haindani na ualisia wa maneno hayo.
 
kama kupenda ndiyo hivyo bora niishi mwenyewe!! khaa jitu nene eti nilibebe mgogoni....
 
Hahahahaaah...hiyo picha nimeona fb wakaandika "hiyo mizigo mizito waachie wangoni" hahhahahahah
 
kwenye mashindano ya kubeba mke anaweza akashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…