Kama wewe ni mwanamke hapo sawa; Kwa kuwa wanaopenda au kupaswa kupenda ni WANAUME pekee, MWANAMKE hapendi, ila huwa anajikabidhi/submit & kuukubali/accept huo upendo ulionyweshwa na Mwanamume & KUTII/obey.
Ni wapi mwanamke aliambiwa kuwa anapaswa kumpenda mwanamume? Aliambiwa amtii & kujikabidhi kwake tu.
Anayependa ni mwanamume. Kama wewe ni mwanamume, ningetarajia umsifie huyo mpenzi/mke wako kwa KUUKUBALI upendo wako, KUJIKABIDHI kwako & KUTII upendo wako na wewe. Kwa muktadha huo, ndio maana anayepaswa kum-approach mwenzie kwanza ni mwanamume; Pia cases za vifo vya mapenzi (sacrifices) huwatokea zaidi wanaume kwa sababu wao ndio waathirika wa Upendo.
Kama wewe, ni mwanamke una haki ya kuja kusifia na kuelezea namna Mumeo anavyo-KUPENDA.