kupendwa na kutokupenda

kupendwa na kutokupenda

Joined
Jun 15, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Jamani kuna du mmoja ananipenda xana ila me simpendi
Na imefikia anajisifia kitaani anatembea na me hata kufikia kuanza kunitumia hela kwenye cm yangu
Nimfanya je?
 
Jamani kuna du mmoja ananipenda xana ila me simpendi
Na imefikia anajisifia kitaani anatembea na me hata kufikia kuanza kunitumia hela kwenye cm yangu
Nimfanya je?

Watu kama hawa dawa yao ndogo tu mzee, kama tayari una msichana wako jitahidi maranyingi uwe nae watu wakuone. Au kama huna omba suport ya msichana yoyote awe anakupa kampan ionekane kama unatembea nae hapo mtaani then huyo anaejipendekeza ataacha tu mwenyewe.

Kwani dawa ya moto si moto........................jaribu utasema ndiyo
 
Hivi inachukua muda mfupi kuandika neno xana badala ya sana?
 
Back
Top Bottom