Korto
Member
- Jul 12, 2013
- 76
- 22
Beka alikuwa anampenda sana bint mmoja ila alikuwa anaogopa kumwambia,siku moja kajikakamua akamuandikia mesegi "I love u,nijibu kwa hisia please" baada ya muda simu yake iliingia mesege,nguvu zilimwishia kutaka kujua kilichojibiwa,akaamua azime cm ili aisome siku iliyofuata labda angepata ujasiri wa kuisoma.
Siku iliyofuata akaamka mapema akafanya usafi wa nyumba nzima hadi watu wakamshangaa kisha akaoga,akala na kujipumzisha ili apate hamu na ujasiri wa kuisoma mesegi...daaaahhh...alipoifugua iliadikwa"hauna salio la kutosha kutumia huduma hii,piga *148*05# upate tigo niwezeshe..
Tigo express your self.