Kupenda sio ndoto... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupenda sio ndoto...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtoboasiri, Dec 7, 2011.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 0
  ...ningeyasema bayana lakini naogopa kuzifufua chuki zilizopita. Poza roho ndugu kwa yaliyokupata kwa sababu ya kupenda. Pendo lako limekuwa kama limepita na maji ndani ya ziwa ukabaki na huzuni.

  Najua penzi ni donda la rohoni lakini usichukie. Ukutanapo na mwenzio tabasamu "hallo" mfariji ukiweza.
  Ukae ukielewa kupenda sio ndoto ya usiku mmoja
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,992
  Likes Received: 18,369
  Trophy Points: 280
  duh.............
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 0
  Yaani! The Boss, we acha tu! Ningeweza ningekuwekea sauti na midundo inayofuatana na hayo mashairi ya kiutu uzima! Sio "kuku kapanda baiskeli bata kavaa raizoni"
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,019
  Likes Received: 888
  Trophy Points: 280
  Mmmmmm?
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 0
  Naaaam!
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Umeongea haraka sijakuelewa.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  mimi na mafumbo hatusomani kabisa
   
 8. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,299
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  MUNGI sio fumbo . hiyo mistari ni part ktk wimbo wa ddc mlimani park orchestra, bahati mbaya ulikuwa hujazaliwa .
   
 9. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kupenda wakati mwingine si kitu kizuri, muulize 20% kwenye uwimbo wake hapo chini atakudokeza maumivu yake.
  "..... Nenda ahaaaa, nenda ahaaaa, nenda haaaa hata kama zamani nilipenda ..... "
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 0
  Wengi tu wametoka kapa!
   
 11. tototundu

  tototundu Senior Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naweza pata wapi MP3 ya hii ngoma, inanikumbusha mbali sana wakati wa udogo, wakati huo redio moja tu, RTD..
   
Loading...