yohana ramadhan
Member
- Jun 22, 2019
- 31
- 18
Umemrudia kwa kuwa anakusaidia kiuchumi.
Jiandae atakuwa anakuacha na kukurudia
Piga chini
Nae anahangaika maana anaona we huko serious kwenda kwao kujitambulisha
duu mapenzi bwana
mueleweshe sasa akuelewe, ana umri gani kwani?napenda sana kwenda kwao lakin kwa ss sipo sawa sijajiandaa bado
mueleweshe sasa akuelewe, ana umri gani kwani?
Ahaa huyo bado, mpaka akifika 25 atakaa kwa kutulia. Yupo kwenye fantasies age anatawaliwa na hisia(wenge) anatamani harusi hasa kama mtu wa mitandao. Bado mdg hajajitambua nini anataka kwa sasa.kwa sasa 22
powa powa bossAhaa huyo bado, mpaka akifika 25 atakaa kwa kutulia. Yupo kwenye fantasies age anatawaliwa na hisia(wenge) anatamani harusi hasa kama mtu wa mitandao. Bado mdg hajajitambua nini anataka kwa sasa.
Kama unampenda mueleweshe tu akiwa mbishi mpe nafasi aende akapigwe pigwa akiona hola atarudi tu kwako. Usimforce sana ila mueleweshe uhalisia ataporudi kwaninu imetokea hivyo.
kwa sasa 22
Duuh 22 muache kwanza amalize raha za dunia
Unajisifia kusaidiwa kiuchumi na mwanamke -- wenzio hata kama huwa wanasaidiwa-- huwa wanaliacha hilo liwe siri ya kambi
Yale Yale. .kumbe bado ni teenager. .nyie wote mtakuwa bado ni watotokwa sasa 22