Kupenda ndo nini

Kupenda ndo nini

Kama wenzangu walivosema hapo juu utakuwa na matatizo,au umri mdogo.
 
Nina miaka 30 na viungo vyangu viko sawa kabisa hakuna tatizo lolote.

mtu mwenye miaka 30 hawezi kuwa na fikra duni kama post yako inavyoonesha. Chunguza akili yako. IQ yako iko kwenye range ya ordinary Homo sapiens? Kua kijana, acha kupost utoto.
 
Pesa usijali nahitaji kusove tatizo nita kupataje?

haki ya Mungu kweli unahitaji kufundishwa hata namna ya kunitafuta pia hujui? jamanii jando na unyago urudi hawa vijana wafunzwe huko porini namna ya kupenda kuwa mkuu wa familia na mengineyo. utajua tu namna ya kunitafutia
 
mtu mwenye miaka 30 hawezi kuwa na fikra duni kama post yako inavyoonesha. Chunguza akili yako. IQ yako iko kwenye range ya ordinary Homo sapiens? Kua kijana, acha kupost utoto.

Mm IQ ikovizur na sijawah pelekw mirembe wala kuwa na historia ya kifafa hapa ni kwa watu wengi hakiaribiki kitu watalaamu wapo so kama huna ushauri unaweza pita tu.
 
haki ya Mungu kweli unahitaji kufundishwa hata namna ya kunitafuta pia hujui? jamanii jando na unyago urudi hawa vijana wafunzwe huko porini namna ya kupenda kuwa mkuu wa familia na mengineyo. utajua tu namna ya kunitafutia

Nitaku PM usjali.
 
Mm IQ ikovizur na sijawah pelekw mirembe wala kuwa na historia ya kifafa hapa ni kwa watu wengi hakiaribiki kitu watalaamu wapo so kama huna ushauri unaweza pita tu.

Sawa, lakini jamii inategemea mtu mwenye umri wa miaka 30 ni mtu mwenye majukumu ya msingi katika jamii siyo kufikria namna ya kushikana mikono na mpenzi mitaani wala how much missing sms you send a day. Usiaibishe watu wa umri wako. Uliyoyaandika kwenye post yako yangeandikwa na kijana mwenye umri wa miaka 17 isingekuwa tatizo na ndiyo maana baadhi ya wanajamvi walitaka kujua umri wako kwanza kabla hawajacomment chochote.

Ushauri wangu ni kwamba lazima ufikiri kwa kadri ya umri wako siyo una miaka 30 unafikiri kama mtoto mwenye miaka 15.
 
hujapata mpz ambaye anajua nin maana nzima ya mapenzi ndo maana hata wewe huelew..kwan swala la mapenzi sio kitandani tu lina mapana saana...xaxa wewe na mpz wako mmekutana akili sawa hivyo hakuna wakumbadilisha mwenzie kimtazamo na kifikra...cwez kukwambia kama hujapata mpz sahihi..hapana huyohuyo ulienaye anatosha..chamsingi badilikeni lifestyle yenu sio kujikita kwenye sehemu moja..utabadilika tuuu...
 
Can you explain how?
[h=2]Re: Kupenda ndo nini[/h]kwa Umri wa 30' ni UONGO km hujui neno hili la Upendo
UPENDO wa
  • wa AGAPE
  • wa MOYONI
  • wa MWENZIO jinsia tofauti
kwa Mwanamume wa ika hiyoni lazima kila usiku utakuwa unajichafua, maana huwezi KUMGEGEDA mwenzako na ikasimama bila kuwa na UPENDO /MAPENZI
NI NGURUWE TU HANA WIVU AKIMUONA JIKE LAKE LINASHUGHULIKIWA kwa binadamu ni vigumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom