Hawez kukuelezea huyo,huwa hausudu kabisa hizo mamboJF huwa hatunyimani uzoefu na maarifa. Funguka tu
Ebu elezea wewe ,kwako kupenda ndo nini? Usikute na wewe ni mwenzangu mie tuaoendeshwa na nyege afu ndo tunasema nampenda mtu flaniFahamu zenyewe huna, Sasa utastuka vipi?
Haisee inashangaza ...comment 10 but no one is bold enough to explain what Love really is ?Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu,ni suala la muda tu utaelewa.
Love Ni Hali ya kumpenda mtu kwa dhati ya moyo wako au kihisia bila kujali mapungufu Yake.Nisaidie kujua tofauti za hizo terms ?
Mimi naona this word Love is overated and missunderstood term . Mkuu wewe ni nguri na mzoefu wa hizi mambo . Tumia lugha nyepesi utufafanulie kupenda ndo Nini ?Kupitia hapa nadhani ataelimika
So mtu akizama penzini anaweza zitofautisha hizo feelings. Na kumpenda mtu kunaanza lini ? Je unaweza mpenda MTU from first sight au ndo hizo infatuation zetu ?Love Ni Hali ya kumpenda mtu kwa dhati ya moyo wako au kihisia bila kujali mapungufu Yake.
INFATUATION Ni Hali ya kumtamani mtu kwa jinsi anavyoonekana.Hapa sio lazima pawe na mapenzi ya dhati.
Tuliwahi kujaribu kugusia katika video fupiHaisee inashangaza ...comment 10 but no one is bold enough to explain what Love really is ?
Love simply refer to a strong like for something...Haisee inashangaza ...comment 10 but no one is bold enough to explain what Love really is ?
Sijawahi hata hisi kuna mtu ananipendaUmewahi kupendwa?
Mama / baba / yeyote aliyekulea anakupenda?
Inawezekana kweli hukuwahi kuhisiSijawahi hata hisi kuna mtu ananipenda