Kupenda Kazi


Madam du Roulette des Russie, hii inafanya kazi kila mmoja anapompenda mwenzie kama nafsi yake, jambo ambalo ni gumu na kazi ya ziada kulipata kunapokuwa hakuna uwiano/mizania (balance) i.e. mmoja anapompenda na kumjali zaidi mwenzie (giving much but not receiving little or nothing)
 
.. motivation ...
Sawia! Ningesema "intrinsic" motivation, ambayo kimsingi inaanza kwa kujitizama binafsi/kuangalia au kuzingatia "maslahi" binafsi.

Umezungumzia "sacrifice" ('kujitoa') - kuweka maslahi ya mwingine/wengine juu ya yale ya kwako. Mimi natizama 'kujitoa' kama ni kiwango cha juu zaidi cha kupenda! Unaionaje hiyo?

Of course, mtu anaweza pia ku argue kuwa hata hiyo "sacrifice" inaanza pia na intrinsic motivation ambayo bado tutarudi kule kule kwenye kutizama maslahi binafsi kwanza.

Nakusoma mkuu!
 
Swadaqta! Lazima kwanza ujipende mwenyewe ndio utajua namna ya kuwapenda wengine. But mapenzi yako mwenyewe yasiwe yakuwatumia wengine. yawe ya kuwafurahisha wale uwapendao.
 
Reactions: SMU
kwenye kupenda mamuie lazima ujue furaha ya umpendaye iko ukimfanyia nini.
mfano gfsonwin anapenda sana msosi, ingawa napenda msosi hataweza kula amnyime snowhite kwasababu anajua snowhite angependezwa kama akikaribishwa huo msosi.

ama kuna jambo huwa najisemeaga mimi, tena wakati namuuguza dada A nilijiambia inafanya yote kwa moyo kwani najua haya niyafanyayo ndio ambayo hata wanangu wangependa niyafanye hivyo kwa ndugu yao. so in one way imeonyesha upendo kwa mgonjwa lkn kwa upande mwingine kwa ndugu zake.

but hizi ni approach mbili tofauti za kuexpress upendo wako.
 
Last edited by a moderator:
girls are very complicated, no scientific theory or sociologists succeeded explaining them, ceteris peribus must be applied
 
Kupenda kweli ni kazi hasa kama unataka kupata mtakayespend maisha yenu yaliyobak hapa duniani pamoja,ndio maana si ajabu kukuta mke na mume hawana story au mama anajuta kuolewa na baba anajuta kuoa namwomba Mungu anipe uwezo wa kuishi peke yangu bila kuoa coz ni moja kati ya mitihani migumu sana maishani
 
I sense a very thin line btn the motivation to love someone in order to achieve your own happyness, and loving someone purely becaise you want to see her happy..like your satisfaction comes from her being happy because of what "you do" to her in the name of love. For the two perspectives there is information asymmetry...the "loved" one ca never get to know the motives behind, whether itbis the former, or the latter. She sails in a boat where the origin.and the destination are only known to the captain.
 

Mkulu

Wena we ndovu...

Nandi na Sanzagakona walipendana sana na ndiyo maana Gendiana alifanya jitihada mbalimbali kuweza kushinda penzi la Nandi matokeo yake hakufanikiwa.

Tatizo ni kwamba penzi kubwa likiwepo kati ya watu wawili ...na mmoja wapo akashindwa kulitunza, hugeuka kuwa uadui mkubwa.

Kumbuka kule mtoni wakati prince anaomba vitu kwa Nandi....

Mayeete Companero
 

Mbombombombo....
 
In this matter be the captain of somebody's boat and don't mind too much whether the captain of your boat is sailing in the right direction coz as you say, you might never be able to find out.
 
In this matter be the captain of somebody's boat and don't mind too much whether the captain of your boat is sailing in the right direction coz as you say, you might never be able to find out.


Sorry.. information is not knowledge ?
how?
 
knowledge is the application of information

re: Roulette
 
Last edited by a moderator:
Tuna information about a tape featuring lwakatare kua mikononi mwa mwigulu. Tuna knowledge gani about it?

But huoni knowledge na information goes together?
how can u separate information from knowledge?
 
jamani kwel kuna mapenzi ya dhati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…