Elifuraha Longu
Member
- May 8, 2014
- 73
- 10
umpotezee na wewe ndo ulienda kumsalimia?
Ama hakika kupenda ni jambo ambalo huleta msukumo za hisia fulani ndani ya moyo wa mtu.
Leo asubuhi katika pitapita zangu nilikutana na wakinadada wawili mmoja akaniambia umependeza sana, sikuweza kumjibu chochote kwa kuwa ni jambo la kushangaza kidogo kwa mwanamke kudhubutu kumwambia mwanaume umependeza.
Sikuamini macho yangu jioni hii kukutana tena na huyu mdada akiwa yuko peke yake, niliamua kumsalimia na bila kupoteza muda akaniomba namba zangu za simu nilimjibu anipe za kwake na akanipa.
Dah! Sijui ana nia gani na mimi, ananipa wasiwasi sana. Wana jf sijui nimtafute au nimpotezee, naombeni ushauri wenu.
Yani kusifiwa ndo uajabu, mi nakuona we ndo wa ajabuni jambo la kushangaza kidogo kwa mwanamke kudhubutu kumwambia mwanaume umependeza.
Dah! Sijui ana nia gani na mimi, ananipa wasiwasi sana. Wana jf sijui nimtafute au nimpotezee, naombeni ushauri wenu.
Kama unampotezea namba zake tupia hapa
Ama hakika kupenda ni jambo ambalo huleta msukumo za hisia fulani ndani ya moyo wa mtu.
Leo asubuhi katika pitapita zangu nilikutana na wakinadada wawili mmoja akaniambia umependeza sana, sikuweza kumjibu chochote kwa kuwa ni jambo la kushangaza kidogo kwa mwanamke kudhubutu kumwambia mwanaume umependeza.
Sikuamini macho yangu jioni hii kukutana tena na huyu mdada akiwa yuko peke yake, niliamua kumsalimia na bila kupoteza muda akaniomba namba zangu za simu nilimjibu anipe za kwake na akanipa.
Dah! Sijui ana nia gani na mimi, ananipa wasiwasi sana. Wana jf sijui nimtafute au nimpotezee, naombeni ushauri wenu.
Utoto raha sana.