Kupenda Au kupendwa

Kupenda Au kupendwa

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
751
Reaction score
657
Habari wadau.hakika kwa vijana wengi tulio katika umri ambao unawaz kuoa kuna jambo linatatiz je unapaswa kuchagua mwanamke anaekupenda zaid kuliko we unavyompenda Au yule unaempenda zaid.wenye experience mtusaidie.
 
Oa unayempenda, hata akikukera upendo uta sawazisha, usiempenda hata aku peti vip utamuona anakutia njaa tu na atakuzidishia madhambi tu. Mana utamtendea vioja na michepuko kwa sana, sasa na wewe ukinikubali mimi kisa mi nimekupenda ila we hujanipenda ndezi ni wewe na mshnd ni mimi.

NB: Huo ni mtazamo tu kama mambo yamegoma na nimeangalia penye uafadhali kwangu kulingana na swali lako, ila mwanamke asienipenda sioi.
 
Nawaza manzi unaempenda Sana akikuzngua unaweza kuchanganyikiwa.
 
Hili swali mbaka leo nimelikosea majibu, raha sana unapokuwa na mtu unaempenda sometime you think like dunia hii yote ni yako, but kasheshe inakuja pale unaempenda mwenyewe asiwe anafeel the same way as you do, apo lazima uombe poo, on the other side ni raha sana kuwa na mtu ambaye anakupenda na kukujali zaidi yako coz mara nyingi they can even able to sacrifice kila kitu kwaajili yako, shida inakuja kwa upande wako kama mchangiaji aliyepita alivyosema, mara nyingi hata mtu akupende vipi kama hufeel the same way, mara nyingi utaona kama anakuzingua tuu, and its boring you know, mtu anakupet pet like....., afu unamwangalia, afu Moyoni unabaki kusema WTF ........love is very complicated thing.
 
images.jpg
 
hata mimi nna shauku ya kujua..wadau waje.
haya mambo ni magumu.
Yana ugumu gani??? Shida mna agenda nyuma ya mapenzi vitu kama pesa, umaarufu, tamaa ni agenda kificho zinazovuruga agenda kuu na msingi ambayo ni KUPENDANA hapo ndipo michepuko uanzia, usalit na uzindaki kutokukubali hali fulani na hofu ya jamii itanionaje, ukishinda hofu hakika maisha yatakwenda murua kabisa.
 
Back
Top Bottom